Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

Wewe si enzi za jiwe ukawa unajifanya usiyejulikana?, Wewe haukumtisha ben saanane wewe?,
Watu watauana kwa lipi?,
 
Wewe kama nani?
 

Kwa makasiriko haya karibuni tuwafahamu waliotokomea na Ben kusikojulikana
 
Kanuni ya msamaha, ni lazima aliyefanya kosa aombe msamaha.
 
JPM ni Chuma! Hakutakaga maujinga!

Kila nafsi itaonja mauti!
Shetani ndivyo hupenda kuwapofusha wanadamu ili awatumie vizuri mwenye unaoshindwa kuzuia hata kisu kupenya, eti ni chuma au jiwe!!
 
Ukisoma comments za watu,unaweza dhani magufuli anachukiwa na watanzania.

Chuki dhidi ya JPM ni humu tu JF .Na humu ni kikundi Cha Watu Fulani wenye akaunti tatu tatu,wanaoshiriki kutoa shiti.
ila huwezi kusema vibaya publicly,IPO Siku mtu atapigwa jiwe Kwa kumsema Marehemu.
 
Umenena vema.

Kuna watu, jambazi lililoshindikana kukamatwa, linafanya uovu wa kila aina, linau, linaiba, kwao huyo ni shujaa na jemedari. Lakini kwa wengine, ni shetani. Sasa kuwalazimisha wanaomwona jambazi ni shetani, eti nao wamwone ni shujaa, haitawezekana kamwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] account tatu tatu
wasije kuropoka huku uraiani wasijutie kitakachowajiria
 
Tena umeeleza jambo muhimu sana. Itabidi ufike wakati tujihoji sana kama Taifa, ilikuwakuwaje hadi mtu wa namna ile anapenya mpaka kushika madaraka ya juu kabisa. Na tufanye nini jambo kama hilo lisitokee tena. Bila kupata majibu ya maswali hii, tufahamu kuwa nchi itakuwa bado ipo kwenye hatari kubwa ya siku moja mtu wa namna ile ile au hata mbaya zaidi, kuja kuchukua madaraka ya nchi.
 

Sahihi kabisa, na kwa sasa huko CCM mwenye tabia kama za Magufuli ni Mwigulu Nchemba. Huyu akipewa madaraka atakuwa mchafu kama Magufuli, ama hata zaidi ya Magufuli.
 
Inshu ya kumkibali mtu kisiasa/kijamii, ni ya mtu binafsi kama ambavyo simkubali Lissu kivyovyote vile, ndivyo nawe usivyomkubali JPM
 
Hakuna namna unaweza kumtetea yule dikteta, hakuna! Watu wengi waliteswa. Kupotea na kuuwawa. Unataka kuwaambia watu wamwache muuaji apumzike?! Apumzike wapi!? Watu wamenyang’anywa mabilioni yao na hawajarudishiwa na wengine wamekufa kwa presha na watoto wao wanateseka, unataka kutuambia nini wewe, tumwache apumzike?! Apumzike wakati amewaachia watu Majanga?! Wewe unaishi dunia gani ama uneshibishwa kwa dhuluma alizofanya kupitia chawa wake? Sasa ndio kwanza dhambi za huyu bwana tunaanza kuziweka hadharani ili kila mtu ajue na haki itendeke hata huko ahera!
 
Kwanza mleta mada usitupangie. Pili shetani kama Magufuli ni wa kukemea siku zote.
Sukuma gang mashetani wa Gambosh
 
Chawa KAZINI!
Wapi umeona Taifa likigawanyika vipande??
Je umejiuliza hao wanaojinasibu wabunge na Mawaziri endapo hapo walipo walipata ridhaa ya wananchi?
Je wanawatetea wananchi kiuhalisia? Ndio walewale baadhi yao walikuwa wakimwita Mungu!
COVID 19 walioko pale bungeni waliingiaje hapo?!
Haya yote yanayoendelea ni walewale waliokuwa Naye! Usimsingizie LISSU bure!
Nani alimfanyizia LISSU yake madhila? Awe alitumwa/kuagizwa waje watoke mbele ya kadamnasi watubu!!
 
Kaburini hakujawahi kuwa chumba cha mapumziko , hii ni kwa mujibu wa Shehe Mazinge
 
Mbona Nyerere anatajwa Kila siku na hujawahi kusema tumwache apumzike,Kuna hata siku zake ya kumsema au kumtaja mambo yake,Kuna Nyerere day na siku ya kigoda Cha mwalimu.
Kila mtu atasemwa kwa aliyoyatenda.
Kwa Niniagufuli TU ndio aachwe apumzike?
Na kwa Nini isiwe mwalimu?
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…