Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

Anayesemwa siyo marehemu tu bali na mfumo uliowezesha mtu wa aina hii kushika nafasi ya juu kabisa katika nchi licha ya hulka yake kufahamika vizuri.
Waliomfikisha kwenye hiyo nafasi pia wanastahili lawama
 
Mkuu
Piga kimya kwa sababu ni busara kukaa kimya.

Wsnaomtukana na kumsimanga ni wenye akili hivyo ipo siku atajibu hizo tuhuma. Hawsmtuhumu bure. Wanamtuhumu kwa sababu wanataka majibu kutoka kwake. Anapaswa kujibu maana wenye akili wanatuaminisha kuwa anao uwezo wa kujibu ndo maana hawaachi kumsonta kidole ili ajibu.

Wasio na akili ndo wanaamini kafa na hawezi kujibu.

Piga kimya, sikilizia atajibu tuhuma dhidi yake soonest
 
Kanuni ya msamaha, ni lazima aliyefanya kosa aombe msamaha.
Aende pale makaburi ya chato akasubiri kuombwa msamaha na marehemu.

Viongozi wamechanganyikiwa, Badala ya kuunganisha na kuleta UMOJA kitaifa,wao ni mipasho tu isokuwa na maana.
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
 
Lazima usemwe kwa matendo yako uliyoyafanya enzi za uhai wako
 
Binadamu sio mtoa hukumu , utashangaa Magufuli yupo zake mbinguni anakunywa divai mkono wa kuume wa mungu baba

Nyenye huku ni kuropoka ropoka tu
 
Unasema akapumzike, nani amekuambia huko kuna kulala wala kupumzika?
Mwenyewe nimtu wa kazi alishasema atafanya kazi za malaika
 
|Nyoko ninakutukana kaniletee ndugu yangu aliyepotezwa haraka! Mfufue mjomba angu aliyepata stroke kwa kukuta bil 1 haipo benki pesa pekee aliyokuwa nayo! Kawalete watu waliookotwa fukweni kwenye viroba vya magunia.
Rubbish rubbish asemwe atukanwe yeye ni jinamizi baya kuliko Idd Amin aliyekula nyama za watu! Kuliko bokasa aliyeua wanafunzi wazi wazi.
LIle ni Jini! LIlaaaniwe zaidi huko liliko!
 
At least anapumua Mkuu.
Ila anaupata moto sasa hivi kichaa serikali ni serikali tatizo Magufuli alivaa uchief na mdomo mwingi, makelele mingi, he never lived diplomacy in statehouse, he had to go by anyhow.
 
haijalishi; amelala! anateseka! anaweweseka!
Acheni marehemu asemwe kwa mabaya au uzuri wake aliofanya duniani!

Anasemwa Bwana Yesu Kristo na Mohamadi sembuse mwendazake!
 
Alishindwa kuelezea alizipata wapi!

Mafisadi nyinyi dawa yenu ni hiyo tu hamna namna nyingine
 
Tatizo ni wingi wa mafisadi, wakipungua na wanaomsema JPM watapungua. Hakuna mtu mwenye kipato cha kati anaemsema vibaya JPM, kama yupo basi anakula makombo ya mafisadi.
 
Kama kuna watu aliwafanyia vibaya wacha wamseme na wacha wamseme vibaya,ila sisi hatutoacha kumsemea vizuri kuwa ni kiongoz shujaa alijaribu kwa makusudi yake kuibadilisha Tanzania kutoka kwenye mfumo wa ushikaji na ulafi wa mali za umma na kuwa kwenye mfumo wa kuheshimiana.
JPM ataendelea kuwa kiongoz aliyetuonyesha kwamba hii nchi wezi ni wengi na ukiwagusa wanakuwekea visa maisha yako yote,Wanataka wale wao tu na family zao huku wakiacha walipa kodi wakihaha na ugumu wa maisha.
Hakuna Rais atakuja tokea au aliyewai kutokea kupambana na wezi wa mali za umma wazi wazi huku akitumia kauli yake ya kutumbua Majipu.
MAJIPU SASA MMEANZA TENA KUSAMBAA,HAKUNA WA KUWATUMBUA MNANENEPEANA TU NA KUSABABISHA MATATIZO KWA WANAMCHI WA KHALI YA CHINI.
 
Alishindwa kuelezea alizipata wapi!

Mafisadi nyinyi dawa yenu ni hiyo tu hamna namna nyingine
Kwani huyu jambazi alikuwa anauliza? Alikuwa anavizia kwa kuchungulia kwenye account za watu! Akiona huko fungu nono anakenua mimeno kama kenge wa ziwa victoria! Anakomba tu! Nasema hivi liffeeeeeee tena na tena. Sukuma gang marufuku kukanyaga katika ofisi za mamlaka washamba wakubwa hawa!
 
Sukuma gang ukiwaona unaweza kuwatambua?

Wewe ni kenge wa bwawa gani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…