Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

Labda tu niwe muwazi marehemu hakuwa mtu mwema kabisa hata kama kuna wakati aliigiza wema

Ninachomshukuru marehemu ni kukubali kufia nyumbani ili kuokoa gharama za mochwari & msiba au Mshana Jr unasemaje pamoja na kaka pascall mayalla
 
'Mtu wa aina hii', 'mwovu', 'uovu' blah blah! Uovu wa Magufuli ni upi? Taja tusikie
 
Uko sahihi waliotumwa ndio wawekwe hadharani kisha washitakiwe kwa kutii na kutekeleza amri isiyo halali kama wanavyomfanyia Lengai Ole Sabaya huku wakifanya sherehe kujipongeza kwa visasi wanavyofanya.
 

Nenda kapumzike naye
 
Acha utaahira na kujitoa ufahamu, maoni unatoyaona humu hawa ni raia wa TZ na hii ndiyo random sampling ya uhalisia wa maoni ya Watanzania juu ya yule muuaji wa Kihutu wa Chato.
Hawa pia wanaishi mitaani na haya ndiyo maoni yao.
 
Sahihi kabisa, na kwa sasa huko CCM mwenye tabia kama za Magufuli ni Mwigulu Nchemba. Huyu akipewa madaraka atakuwa mchafu kama Magufuli, ama hata zaidi ya Magufuli.
Exactly my thoughts.
 
Yeye amekufa haya semeni walio husika kazi imalizike maana hakushika silaha kwenda tekeleza ukatili na hao walio shika silaha waleteni tuache siasa maji taka
Aliminya haki za watumishi wa umma& kuwadhihaki kana kwamba pesa ni zake..nilikwazika ktk hili.
 
Shujaa kalala ila bado anaishi
 
Kuna watu wanatafuta umaarufu kupitia jina La Magufuli.hakika wataporomoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…