Duh 🙄 ! Ndio maana baadhi yao Wanasemaga kwenye siasa hakuna Mungu ?! Hatari sana. !
Mungu hakuna that's USA anaweza kuvamia Taifa lolote ambalo ni underdog wakaua wakabaka wakafanya Kila Aina ya unyama and still yet Wana endelea kuishi without any curse, Mungu angekuwepo asinge ruhusi unyama kama huo utendeke,
So ni hivyo hivyo tu kama wanavyo fanya ccm , Dini zililetwa na hao hao wana siasa ili kupush agenda zao katika jamii na Huwa wanazitumia kama silaha yao pia pale wanapo taka kupush agenda zao mfano mdogo Ni wakati wa corona magufuli alipo shtuka kwamba corona ni Gonjwa la wajanja waliopo duniani na limeletwa kimchongo ili wajanja hao waweze kupiga pesa
Kwa kuwa serikali inajua kwamba Wananchi wake wana Imani kubwa sana ya dini Magu akaagiza kwamba Nchi nzima iingie kwenye maombi Cause alikuwa anajua akiwaambia hivyo wananchi wake Kwa kuwa wana amini sana kuwa Kuna mungu basi watafanya maombi na kuamini kwamba huo ugonjwa utashindwa Kwa nguvu ya maombi kumbuka ugonjwa wa corona pia ulikuwa na propaganda ndani yake Kila muathirika Alikuwa lazima atangazwe kwenye media ili kuweza kuleta hofu katika Jamii na watu walikuwa down sana Kila walipo kuwa wanasikia kwamba Kuna muathirika wa corona kupatikana sehemu Fulani raia walikuwa wanawaza kuwa hapa tunao fuata ni sisi lazima tufe so ulikuwa ni ugomvi unao fanyiwa pushing na propaganda ili kuwajaza watu hofu zaidi
So magu akaona msinitanie akapiga marufuku vyanzo vya watu wanao athirika kutangazwa Kisha akaagiza Kwamba wananchi wafanye maombi ili kuushinda ugonjwa 🤣🤣
Viongozi wa dini wote wakatangaza Nchi kuingia kwenye maombi Kwa akili ya mtu anaye jitambua ni wazi kwamba atatambua kwamba Kwa waumini wa kidini maombi Huwa Yana bust morality Yao , yaani kama watu walikuwa na hofu ile hofu ghafla hutoweka ukichukulia kwamba Binaadamu ni kiumbe ambaye yupo programed so through maombi watanzania wakaishinda corona Wala hakuna aliye kaa carantin ,
So do you think kilicho shinda ni maombi !? Jibu ni No kilicho shinda ni Nguvu ya psychology only, cause Watanzania wengi ni waumini wa dini na Wana amini Kwa mungu wao hakuna kinacho shindikana so ile moraly Yao iliyo kuwa down ikapanda baada ya kuaminishwa kwamba wakifanya maombi mungu atawaponya ,
So Binaadamu ni mzigo tu Huwa anapelekeshwa na wajanja watakavyo cause Binaadamu yupo programed, dini ni sehemu ya hiyo program
Mifano mingine Ipo mingi tu , Mungu angekuwa yupo asinge ruhusu catholic church wamuue Galileo Galilei,
Tena Kwa jambo ambalo Galileo ndiye alikuwa sahihi
Kama walikuwa na mashaka na ugunduzi wake walipaswa kwenda kumuuliza tu mungu wao , eti mungu Galileo anasema Dunia ndio hulizunguka jua na sisi tunasema Jua ndio linalo izunguka Dunia je kati yetu na Galileo nani yupo sahihi
Halafu mungu wao angewapa majibu ,
Ajabu ni kwamba catholic church Walimuua Galileo Kwa kusema ukweli halafu A decades later wanakuja kukiri kuwa walifanya makosa cause Galileo was right, and still Kuna watu bado wana Waamini wa catholic Wakati issues kama hiyo tu ilipaswa kuwafanya wa question Uhalali wao kwenye mafundisho Yao and the likes
Dunia Ina mambo ya kifala sana 😄