Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
You are rightMungu hakuna that's USA anaweza kuvamia Taifa lolote ambalo ni underdog wakaua wakabaka wakafanya Kila Aina ya unyama and still yet Wana endelea kuishi without any curse, Mungu angekuwepo asinge ruhusi unyama kama huo utendeke,
Hata baadhi ya wakuu wakubwa wa dini zote mbili, ukiwadfatilia mambo yao Kwa unddani Utaona kabisa baadhi ya Maaskofu au Wachungaji na mashekhe wakubwa wanafahamu kabisa mambo ya Mungu ni Mchongo, ni hadaa Tu na wao hawayafati. Fatilia utaona hili jamboWanasiasa wote wanajua kuwa Mungu ni mchongo Mungu hakuna
That's why hawana hofu kabisa matendo Yao Yana sadiki hilo
So kama unakaa na kumsubiri the so called mungu akuletee mabadiliko you have failed
Uko sahihi kabisa ,Hata baadhi ya wakuu wakubwa wa dini zote mbili, ukiwadfatilia mambo yao Kwa unddani Utaona kabisa baadhi ya Maaskofu au Wachungaji na mashekhe wakubwa wanafahamu kabisa mambo ya Mungu ni Mchongo, ni hadaa Tu na wao hawayafati. Fatilia utaona hili jambo
Galileo hakuuawa..Mungu hakuna that's USA anaweza kuvamia Taifa lolote ambalo ni underdog wakaua wakabaka wakafanya Kila Aina ya unyama and still yet Wana endelea kuishi without any curse, Mungu angekuwepo asinge ruhusi unyama kama huo utendeke,
So ni hivyo hivyo tu kama wanavyo fanya ccm , Dini zililetwa na hao hao wana siasa ili kupush agenda zao katika jamii na Huwa wanazitumia kama silaha yao pia pale wanapo taka kupush agenda zao mfano mdogo Ni wakati wa corona magufuli alipo shtuka kwamba corona ni Gonjwa la wajanja waliopo duniani na limeletwa kimchongo ili wajanja hao waweze kupiga pesa
Kwa kuwa serikali inajua kwamba Wananchi wake wana Imani kubwa sana ya dini Magu akaagiza kwamba Nchi nzima iingie kwenye maombi Cause alikuwa anajua akiwaambia hivyo wananchi wake Kwa kuwa wana amini sana kuwa Kuna mungu basi watafanya maombi na kuamini kwamba huo ugonjwa utashindwa Kwa nguvu ya maombi kumbuka ugonjwa wa corona pia ulikuwa na propaganda ndani yake Kila muathirika Alikuwa lazima atangazwe kwenye media ili kuweza kuleta hofu katika Jamii na watu walikuwa down sana Kila walipo kuwa wanasikia kwamba Kuna muathirika wa corona kupatikana sehemu Fulani raia walikuwa wanawaza kuwa hapa tunao fuata ni sisi lazima tufe so ulikuwa ni ugomvi unao fanyiwa pushing na propaganda ili kuwajaza watu hofu zaidi
So magu akaona msinitanie akapiga marufuku vyanzo vya watu wanao athirika kutangazwa Kisha akaagiza Kwamba wananchi wafanye maombi ili kuushinda ugonjwa π€£π€£
Viongozi wa dini wote wakatangaza Nchi kuingia kwenye maombi Kwa akili ya mtu anaye jitambua ni wazi kwamba atatambua kwamba Kwa waumini wa kidini maombi Huwa Yana bust morality Yao , yaani kama watu walikuwa na hofu ile hofu ghafla hutoweka ukichukulia kwamba Binaadamu ni kiumbe ambaye yupo programed so through maombi watanzania wakaishinda corona Wala hakuna aliye kaa carantin ,
So do you think kilicho shinda ni maombi !? Jibu ni No kilicho shinda ni Nguvu ya psychology only, cause Watanzania wengi ni waumini wa dini na Wana amini Kwa mungu wao hakuna kinacho shindikana so ile moraly Yao iliyo kuwa down ikapanda baada ya kuaminishwa kwamba wakifanya maombi mungu atawaponya ,
So Binaadamu ni mzigo tu Huwa anapelekeshwa na wajanja watakavyo cause Binaadamu yupo programed, dini ni sehemu ya hiyo program
Mifano mingine Ipo mingi tu , Mungu angekuwa yupo asinge ruhusu catholic church wamuue Galileo Galilei,
Tena Kwa jambo ambalo Galileo ndiye alikuwa sahihi
Kama walikuwa na mashaka na ugunduzi wake walipaswa kwenda kumuuliza tu mungu wao , eti mungu Galileo anasema Dunia ndio hulizunguka jua na sisi tunasema Jua ndio linalo izunguka Dunia je kati yetu na Galileo nani yupo sahihi
Halafu mungu wao angewapa majibu ,
Ajabu ni kwamba catholic church Walimuua Galileo Kwa kusema ukweli halafu A decades later wanakuja kukiri kuwa walifanya makosa cause Galileo was right, and still Kuna watu bado wana Waamini wa catholic Wakati issues kama hiyo tu ilipaswa kuwafanya wa question Uhalali wao kwenye mafundisho Yao andli the likes
Dunia Ina mambo ya kifala sana π
Mbona umepanic Lissu kua jela wewe unafaidika na nini kama ni JF unaingia na VPN ?pumbavu kabisa.
kuna sauti ya Mungu
Sauti ya mwanadamu na
Sauti ya shetani.
Hiyo ni sauti ya shetani.
Kama unabisha njoo nikutoe MAPEPO.
Nyie wapumbavu ambao shetani ameteka fikra zenu mnashida sana .
Tuweke kiapo hapa Mimi na wewe kwamba kama Mungu amekutuma ndani ya hizi siku 21 Mimi nife na kama hajakutuma wewe ufe.
Mbona umepanic Lissu kua jela wewe unafaidika na nini kama ni JF unaingia na VPN jpumbavu kabisa.
kuna sauti ya Mungu
Sauti ya mwanadamu na
Sauti ya shetani.
Hiyo ni sauti ya shetani.
Kama unabisha njoo nikutoe MAPEPO.
Nyie wapumbavu ambao shetani ameteka fikra zenu mnashida sana .
Tuweke kiapo hapa Mimi na wewe kwamba kama Mungu amekutuma ndani ya hizi siku 21 Mimi nife na kama hajakutuma wewe ufe.
duh π!Mungu hakuna that's USA anaweza kuvamia Taifa lolote ambalo ni underdog wakaua wakabaka wakafanya Kila Aina ya unyama and still yet Wana endelea kuishi without any curse, Mungu angekuwepo asinge ruhusi unyama kama huo utendeke,
So ni hivyo hivyo tu kama wanavyo fanya ccm , Dini zililetwa na hao hao wana siasa ili kupush agenda zao katika jamii na Huwa wanazitumia kama silaha yao pia pale wanapo taka kupush agenda zao mfano mdogo Ni wakati wa corona magufuli alipo shtuka kwamba corona ni Gonjwa la wajanja waliopo duniani na limeletwa kimchongo ili wajanja hao waweze kupiga pesa
Kwa kuwa serikali inajua kwamba Wananchi wake wana Imani kubwa sana ya dini Magu akaagiza kwamba Nchi nzima iingie kwenye maombi Cause alikuwa anajua akiwaambia hivyo wananchi wake Kwa kuwa wana amini sana kuwa Kuna mungu basi watafanya maombi na kuamini kwamba huo ugonjwa utashindwa Kwa nguvu ya maombi kumbuka ugonjwa wa corona pia ulikuwa na propaganda ndani yake Kila muathirika Alikuwa lazima atangazwe kwenye media ili kuweza kuleta hofu katika Jamii na watu walikuwa down sana Kila walipo kuwa wanasikia kwamba Kuna muathirika wa corona kupatikana sehemu Fulani raia walikuwa wanawaza kuwa hapa tunao fuata ni sisi lazima tufe so ulikuwa ni ugomvi unao fanyiwa pushing na propaganda ili kuwajaza watu hofu zaidi
So magu akaona msinitanie akapiga marufuku vyanzo vya watu wanao athirika kutangazwa Kisha akaagiza Kwamba wananchi wafanye maombi ili kuushinda ugonjwa π€£π€£
Viongozi wa dini wote wakatangaza Nchi kuingia kwenye maombi Kwa akili ya mtu anaye jitambua ni wazi kwamba atatambua kwamba Kwa waumini wa kidini maombi Huwa Yana bust morality Yao , yaani kama watu walikuwa na hofu ile hofu ghafla hutoweka ukichukulia kwamba Binaadamu ni kiumbe ambaye yupo programed so through maombi watanzania wakaishinda corona Wala hakuna aliye kaa carantin ,
So do you think kilicho shinda ni maombi !? Jibu ni No kilicho shinda ni Nguvu ya psychology only, cause Watanzania wengi ni waumini wa dini na Wana amini Kwa mungu wao hakuna kinacho shindikana so ile moraly Yao iliyo kuwa down ikapanda baada ya kuaminishwa kwamba wakifanya maombi mungu atawaponya ,
So Binaadamu ni mzigo tu Huwa anapelekeshwa na wajanja watakavyo cause Binaadamu yupo programed, dini ni sehemu ya hiyo program
Mifano mingine Ipo mingi tu , Mungu angekuwa yupo asinge ruhusu catholic church wamuue Galileo Galilei,
Tena Kwa jambo ambalo Galileo ndiye alikuwa sahihi
Kama walikuwa na mashaka na ugunduzi wake walipaswa kwenda kumuuliza tu mungu wao , eti mungu Galileo anasema Dunia ndio hulizunguka jua na sisi tunasema Jua ndio linalo izunguka Dunia je kati yetu na Galileo nani yupo sahihi
Halafu mungu wao angewapa majibu ,
Ajabu ni kwamba catholic church Walimuua Galileo Kwa kusema ukweli halafu A decades later wanakuja kukiri kuwa walifanya makosa cause Galileo was right, and still Kuna watu bado wana Waamini wa catholic Wakati issues kama hiyo tu ilipaswa kuwafanya wa question Uhalali wao kwenye mafundisho Yao and the likes
Dunia Ina mambo ya kifala sana π
Law of Universe ??!Sio kwenye siasa tu.
Mungu hayupo popote pale.
Hakuna Mungu.
Ndio maana hiyo concept ikaanzishwa lengo ni kuwasaidia watawala waweze kupata wepesi wa kumtawala uongo wa dini una saidia kuishape jamii na kuwa kitu kimojaLaw of the universe jee ??!
What goes around comes around
duh π!
Maneno yako ni mazito sana !
Lakini huoni kwamba watu wakiamini kwamba hakuna Mungu basi ujue to some big fools itakuwa ndio green light yao kuwaumiza wengine ??!
Sio Kila wakati inakuwa hivyo hiyo law of universe mbona inashindwa kumu- Attack Obama au bush wakati wameua malaki ya watu kule Iraq na Libya !!! ππLaw of the universe jee ??!
What goes around comes around
duh π!
Maneno yako ni mazito sana !
Lakini huoni kwamba watu wakiamini kwamba hakuna Mungu basi ujue to some big fools itakuwa ndio green light yao kuwaumiza wengine ??!
Death wakati walimfunga jela na walicho kifanya wana kijua wao wenyewe mpaka akafa ,Galileo hakuuawa..
Alikufa natural death.
peleka ramli zako nonsense kwa washirikina wenzako Gentleman,Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo
Rejea mada tajwa hapo juu
Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi.
Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu.
Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila kujali wewe ni nani, umezindika vipi, upo na kataba gani na kuzimu, Mungu atawashangaza atakavyo anza kuwafyeka na hapa nguvu yake ndo itadhihilika
Thanks
So tuweke mambo ya shetaniUkishawweka mambo ya Mungu tayari ushaharibu