4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Inasikitisha sanaMwachieni mapema sana ,viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua
nonsense,Habari wana wa Mungu jf popote mlipo,amani Bwana ikawe juu yenu .
MUNGU akanionesha yoyote alie nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio mda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana ,viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukum mema na zingatia hili.
Thanks
MamaSamia2025 Mungu ameshakuondolea ulinzi. Huyo Tundu Lissu hakikisha unamnyonga kabisa, ukitaka kula kharamu chagua iliyononaHabari wana wa Mungu jf popote mlipo,amani Bwana ikawe juu yenu .
MUNGU akanionesha yoyote alie nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio mda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana ,viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukum mema na zingatia hili.
Thanks
Ndiyo majukumu ya manabii...Lissu sio mtu wa kawaida Magufuli ameondoka kamuacha Mkapa pia hawa waliwahi kutofautiana Mbowe kamstaafisha siasa na kuonyesha sura halisi ya Mbowe anaweza kua RC au kurudi kwa mlango wa Nyuma chadema Lissu kaonyesha mahakama za Tanzania si chochote zinatumika kwa hiyo Kafanya tuamini Maneno ya Rostam Aziz. Katiba katuonyesha uchaguzi ni kiini macho
Amina Amina AminaHabari wana wa Mungu jf popote mlipo,amani Bwana ikawe juu yenu .
MUNGU akanionesha yoyote alie nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio mda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana ,viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukum mema na zingatia hili.
Thanks
...Habari wana wa Mungu jf popote mlipo,amani Bwana ikawe juu yenu .
MUNGU akanionesha yoyote alie nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio mda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana ,viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukum mema na zingatia hili.
Thanks
Kuna wajinga flani ati wanatengeza mtandao wa kuweka mizizi mpaka chini ,nasema tena sio mda watakufa midomo wazi , hii ni nchi sio familia ya yoyote , mda mwalimu na imekuaLissu sio mtu wa kawaida Magufuli ameondoka kamuacha Mkapa pia hawa waliwahi kutofautiana Mbowe kamstaafisha siasa na kuonyesha sura halisi ya Mbowe anaweza kua RC au kurudi kwa mlango wa Nyuma chadema Lissu kaonyesha mahakama za Tanzania si chochote zinatumika kwa hiyo Kafanya tuamini Maneno ya Rostam Aziz. Katiba katuonyesha uchaguzi ni kiini macho
Upumbavu tu , yani tutese nchi kwa upumbavu na wajinga wachache kweli!Inasikitisha sana
Naona huyu mwamba hayuko Sawa psychologically.Habari wana wa Mungu jf popote mlipo,amani Bwana ikawe juu yenu .
MUNGU akanionesha yoyote alie nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio mda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana ,viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukum mema na zingatia hili.
Thanks
Mbona wewe ndiye kibaraka Og??huyo kibaraka wa mabwenyenye
Angalia sana , kuna watu wa kuchezea kiroho, Magufuli nilimwambia tena , pitia post zangu , Rais wa Kenya nilisema hata kabla ya uchaguzi kwamba ndie, na ndie pia next election, sasa jitafakari ujapo kwenye bandiko langu , na chukua mda ikikupendeza pitia maandiko yangu hapa jf .Naona huyu mwamba hayuko Sawa psychologically.
Ule mwonekano wa ukichaa siyo mzuri.
Upuuzi mtupu!Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu.
Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana, viginevyo mtakufa vibaya sana.
Asema Bwana na imekua
Niwatakie majukumu mema na zingatia hili.
Thanks
Hanyongeki uyo , kufanya hivyo ni kama kutia kiberiti kwenye mabua yaliyo kaukaMamaSamia2025 Mungu ameshakuondolea ulinzi. Huyo Tundu Lissu hakikisha unamnyonga kabisa, ukitaka kula kharamu chagua iliyonona