TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Hanyongeki uyo , kufanya hivyo ni kama kutia kiberiti kwenye mabua yaliyo kauka
Mkapa alikuepo
Kikwete alikuepo
Magufuli alikuepo
Leo ati wakina Wasira ndo wakutisha watz mda mwalimu ,litajibiwa jibu kuu na takatifu na tutashangaa, siku inakuja unakuta ndenge imeganda hewani wakati hakuna mawe ,mlima ,