Mwachieni mwana wa Mungu, Lissu, viginevyo mtakufa midomo wazi - asema Bwana

Acha vitisho wewe shetani namba 7,

Mungu gani huyo asiyetaka amani?

Mungu gani huyo aliyetaka lissu akinukishe na nchi isitawalike?

Labda mungu wenu commonwealth, eu au marekani!

Sufiani mkubwa wewe funga kopo lako!
Mbona kama umepanic mzee chawa ?? Tulia msumari uzame kata uno pumbaf
 
Kuna yule alienda mahakamani kutoa ujumbe kama huu akaonekana akili yake haipo sawa.... wakati mwingine mambo ya Mungu huja kwa namna ambayo unaweza kudharau
 
Kuna yule alienda mahakamani kutoa ujumbe kama huu akaonekana akili yake haipo sawa.... wakati mwingine mambo ya Mungu huja kwa namna ambayo unaweza kudharau
Wahuni hawa wamezoea sana na marisasi yao ,kuteka na kupoteza watu ,ngoja tuone binadamu na Mungu nani zaidi
 
Wahuni hawa wamezoea sana na marisasi yao ,kuteka na kupoteza watu ,ngoja tuone binadamu na Mungu nani zaidi
Hii ishu ngumu, tunapaswa kujifunza kwenye kupigwa kwake risasi na akapona, kwa akili ya kawaida inagoma alitokaje humo. Ukisikilza Utetezi wake utajua huyu ni mtumishi wa Mungu kweli kweli, Mungu mwenyewe ataamua na sio mwanadamu.
 
Thanks mkuu, upo na upeo mkubwa wa Kimungu, wachache watakuelewa
 
Hii ishu ngumu, tunapaswa kujifunza kwenye kupigwa kwake risasi na akapona, kwa akili ya kawaida inagoma alitokaje humo. Ukisikilza Utetezi wake utajua huyu ni mtumishi wa Mungu kweli kweli, Mungu mwenyewe ataamua na sio mwanadamu.
Pamoja na yote naenda kwenye msalaba wa maombi siku 14 ni wapi , sikwambii ila barikiwa sana , hawa wahuni watajua hawajui , Magufuli nilimwambia pitia jf hii ,

Tutapigana kiroho au kila namna mwana wa Mungu lissu awe huru , ujinga mtupu
 
Mwachieni Tundu Lissu haraka, vinginevyo hasira ya Mungu inakwenda kuwatawanya wote. Mtaanza kumenyana ndani ya chama chenu usiku na mchana. Utafika wakati, kila mmoja hatamwamini wa karibu yake, na baadaye kidogo hadi mtoto wako wa kumzaa utahisi anakuhujumu na utamchulia hatua kali. Nawaambia tena, mtaanza kuunguzana wenyewe kwa wenyewe kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu kuzaliwa kwenu.
Huyu mnayemshikilia huyu ana mkono wa Mungu juu yake.

Mkiweza, chukueni ushauri huu, mkipuuza ni shauri yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…