MwaJ na Mwita Maranya Kufanya Kweli Tarehe 06/07/2013 Kwa Mjeda...!!!

shikamoo Mwita Maranya, achana na Mamndenyi ameshachanganyikiwa yeye na talaka talaka na yeye ndoa si fani yake........
she deserve to be single!!!!!

Marahaba shemeji Lady doctor, najua Mamndenyi amechanganyikiwa kweli kwakuwa alikuwa anatarajia kuolewa na aiza mimi au Arushaone lakini ameshangaa kuona tumetangaza ndoa kwa wengine kabisa tuwapendao. Sasa amebaki anaweweseka kwahiyo si mbaya kumfariji ili asije akaji-gaidi!!!
 
Last edited by a moderator:

itakuwa vyema kama ataji gaidi maana amekuwa kikwanzo kwenye maandalizi ya ndoa yangu. Na sasahivi nampango wa kumtilia sumu kwenye chakula ili atupishe si tuoane kwa raha zetu
 
Last edited by a moderator:
itakuwa vyema kama ataji gaidi maana amekuwa kikwanzo kwenye maandalizi ya ndoa yangu. Na sasahivi nampango wa kumtilia sumu kwenye chakula ili atupishe si tuoane kwa raha zetu
Lady doctor unajua kitendo cha kukosa mume tu ni mateso tosha, hakuna sababu ya kumuachia ajigaidi. Na hata hilo la kumuwekea sumu achana nalo kwakuwa Mamndenyi sasahivi kachoka mwili na roho wala hana ujanja wa kukuvurugia ndoa yako, cha msingi wewe deal na mumeo mtarajiwa king mswati Arushaone tu.
 
Last edited by a moderator:

Arushaone sina tatizo nae, mwenyeshida ni huyu bibie hataki kupokea talaka zake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…