Mamndenyi kama kweli umechoka na ndoa za wenzako olewa basi...na ukiolewa utulie na mumeo ili kujiepusha na talaka kila uchao.
shikamoo Mwita Maranya, achana na Mamndenyi ameshachanganyikiwa yeye na talaka talaka na yeye ndoa si fani yake...
she deserve to be single!!
Atajifunza kwetu!!!
lazima tuwe mfano kwake, hakuna atakaye acha wala kuachwa
shikamoo Mwita Maranya, achana na Mamndenyi ameshachanganyikiwa yeye na talaka talaka na yeye ndoa si fani yake........
she deserve to be single!!!!!
Ila tukumbuke tabia zingine hazina dawa mpenzi, bata ni bata tu hata ukimpa mkate atahara tu.
Marahaba shemeji Lady doctor, najua Mamndenyi amechanganyikiwa kweli kwakuwa alikuwa anatarajia kuolewa na aiza mimi au Arushaone lakini ameshangaa kuona tumetangaza ndoa kwa wengine kabisa tuwapendao. Sasa amebaki anaweweseka kwahiyo si mbaya kumfariji ili asije akaji-gaidi!!!
Lady doctor unajua kitendo cha kukosa mume tu ni mateso tosha, hakuna sababu ya kumuachia ajigaidi. Na hata hilo la kumuwekea sumu achana nalo kwakuwa Mamndenyi sasahivi kachoka mwili na roho wala hana ujanja wa kukuvurugia ndoa yako, cha msingi wewe deal na mumeo mtarajiwa king mswati Arushaone tu.itakuwa vyema kama ataji gaidi maana amekuwa kikwanzo kwenye maandalizi ya ndoa yangu. Na sasahivi nampango wa kumtilia sumu kwenye chakula ili atupishe si tuoane kwa raha zetu
Lady doctor unajua kitendo cha kukosa mume tu ni mateso tosha, hakuna sababu ya kumuachia ajigaidi. Na hata hilo la kumuwekea sumu achana nalo kwakuwa Mamndenyi sasahivi kachoka mwili na roho wala hana ujanja wa kukuvurugia ndoa yako, cha msingi wewe deal na mumeo mtarajiwa king mswati Arushaone tu.
Haya tena..Naona mshua unataka kukumbushia enzi...
nisubiri ...Napita
sawa odo!
shkampp naomba shing kumi odo!