Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ππππDah ila ulicheza vizuri mno yaani π πYule jamaa aliyekuwa amevaa suti hana mkono mmoja ndo mimi, ila waliniboa sana mana mm nilikuwa nimekufa zangu kwa amani wakanilazimisha kufufuka hvy hvy ili tushoot hy video.
Maisha yanabadilika mkuu,niliingia kwa mgongo wa wazee,baada ya kustaafu,mtu pekee ninayemmudu ni January Makamba ambaye kwa sasa sio waziri tenaMaskhara haya mkuu. Stori zako inaonekana viunga vya majengo ya serikali yasiyo ingilika isipokuwa kwa protokali maalumu.. Wewe umesha vuruga sana viunga hivyo.
Kuna wazazi na wazazi kwa kweli, afadhali alikuwa anawafurahisha wanaeUko sahihi mkuu,,mshua alijitahidi sana kwenye swala ka familia,hongera mkuu kwa kusafiri kitambo,niaka hiyo nabaharia wakijazana pale Salamander vijana walisafiri sana kwa kuzamia meli
Kila leo nawasamehe mpaka wanaowakosea wenzao huwa nawaombea wajirudiAmina nakuombea Baba yangu
Mtusamehe sana sisi watoto wenu ambao hutakanana na ninyi humu ndani bila kujua
Tunaomba mtusamehe sana
Afu walinilipa pesa ya nauli tuu π bahati nzuri video ilifanyika maeneo ya makaburini hvy nilipiga reggae kurudi maskani then hy pesa nkafanyia mambo mengineππππDah ila ulicheza vizuri mno yaani π π
Amina mbalikiwe sana msituchokeKila leo nawasamehe mpaka wanaowakosea wenzao huwa nawaombea wajirudi
Usijali na nyie pia mtakua mababu siku moja
Nawaombea umri mrefu kama wangu
Tunapambana tuu mkuu, juzi kati hapa nilikuwa na Michael Jackson analalamika hapewi muda mwngi wa ku-perform mana huku malaika wanaimba kinoma π₯Maisha huko akhera yanaendaje?
Kuna watoto saivi ndio ndio wanaenda kuuangalia. Binafsi mimi kwa mara ya kwanza video yake nimeiona mwaka 1999 Dodoma Nam Hotel maeneo ya Area C na nilikua chini ya miaka 10 ila kwa kipindi hicho yale ma movie ya kinaijeria yalikua yameshanikomaza.Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 pale Drive inn zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson
Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale mazombie sikukala usiku.
Drive in ndio ukumbi pekee ambao ungeweza kuangalia filamu ukiwandani ya gari,mimi niliogopanikaenda kujifungia kwenye gari.
Sasa hivi woga umenitoka ukijichanganya ninaweza kukuchinja koo
Indiana ni bonge la movie, ila ya 1984 ni Ile temple of God mkuu.Dah, ile ilikuwa ama 1983 ama 1984.
Pamoja an Indiana Jones katika "Raiders of the Lost Ark".
View attachment 3269502
Comming to America haichoshi,nje ya mada,cast wote wa comming to america ni wawili tu waliokwishafariki so far,sasa tafuta wimbo wa bendi yoyote ya Tanzania kwa miaka hiyo,wakio hai hawazidi wawili au watatu,tunakufa tukiwa wadogo sana ndugu zanguniMiaka hiyo kulikuwa na movie hizi pia
Rain Man
Coming to America
Bloodsport ya dame
Naunga mkono hoja mkuuComming to America haichoshi,nje ya mada,cast wote wa comming to america ni wawili tu waliokwishafariki so far,sasa tafuta wimbo wa bendi yoyote ya Tanzania kwa miaka hiyo,wakio hai hawazidi wawili au watatu,tunakufa tukiwa wadogo sana ndugu zanguni
Yeah, lakini sisi tuliona hii ya 1981 mwaka 1984 nafikiri. Nyumbani kwa rafiki yangu kwenye birthday party.Indiana ni bonge la movie, ila ya 1984 ni Ile temple of God mkuu.
Heshima yako mzee.. Nadhan mpaka sasa umeona meng sanaKabisa mkuu mimi ni baba