Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

Na mimi nilikuwepo miaka hiyo nilikuwa naishi morogoro stoo hapo shule nilisoma oysterbay
 
Amina nakuombea Baba yangu

Mtusamehe sana sisi watoto wenu ambao hutakanana na ninyi humu ndani bila kujua

Tunaomba mtusamehe sana
😀😀😀 Nyie vijana mna matatizo mengi siku hizi😀😀yawezekana huku mtaani tunafahamiana na mnatuheshimu Sana ila sasa JF ndo hivyo hatujuani mnatushushia matusi tu
 
😀😀😀 Nyie vijana mna matatizo mengi siku hizi😀😀yawezekana huku mtaani tunafahamiana na mnatuheshimu Sana ila sasa JF ndo hivyo hatujuani mnatushushia matusi tu
Tusameane sana father

Huwa Najaribu kuwaza kwanini vijana wa siku hizi tumekengeuka?
 
Yeah, lakini sisi tuliona hii ya 1981 mwaka 1984 nafikiri. Nyumbani kwa rafiki yangu kwenye birthday party.
Shikamoo Mzee wangu,

Mkuu mwaka 1984 unaangalia movie??

Na kuhudhuria birthday


Shikamoo Mzee Kiranga
 
Duuh wewe ni mzee, kwahy hata kipind cha Munich Massacre ulikuwa ushazaliwa?
 
Mimi nilivyoona video ya Zuchu antenna niliogopa sana nikashindwa kulala😃
 
Wewe ulikuwa hujazaliwa?

1984 Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine anafariki mimi nasoma habari gazeti la Mfanyakazi.
Mwaka themann na nne mama yangu yupo latano.

Mzee wangu Kiranga, heshima kwako.

Kwakweli, jf tunabishana saana. Pengine tungekuwa tunajua umri, pengine Ka heshima kangekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…