Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 pale Drive inn zilipo ofisi za Zantel,Msasani.

Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson

Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale mazombie sikukala usiku.

Drive in ndio ukumbi pekee ambao ungeweza kuangalia filamu ukiwandani ya gari,mimi niliogopanikaenda kujifungia kwenye gari.
Sasa hivi woga umenitoka ukijichanganya ninaweza kukuchinja koo
Na mimi nilikuwepo miaka hiyo nilikuwa naishi morogoro stoo hapo shule nilisoma oysterbay
 
Amina nakuombea Baba yangu

Mtusamehe sana sisi watoto wenu ambao hutakanana na ninyi humu ndani bila kujua

Tunaomba mtusamehe sana
😀😀😀 Nyie vijana mna matatizo mengi siku hizi😀😀yawezekana huku mtaani tunafahamiana na mnatuheshimu Sana ila sasa JF ndo hivyo hatujuani mnatushushia matusi tu
 
😀😀😀 Nyie vijana mna matatizo mengi siku hizi😀😀yawezekana huku mtaani tunafahamiana na mnatuheshimu Sana ila sasa JF ndo hivyo hatujuani mnatushushia matusi tu
Tusameane sana father

Huwa Najaribu kuwaza kwanini vijana wa siku hizi tumekengeuka?
 
Yeah, lakini sisi tuliona hii ya 1981 mwaka 1984 nafikiri. Nyumbani kwa rafiki yangu kwenye birthday party.
Shikamoo Mzee wangu,

Mkuu mwaka 1984 unaangalia movie??

Na kuhudhuria birthday


Shikamoo Mzee Kiranga
 
Kuna wazazi na wazazi kwa kweli, afadhali alikuwa anawafurahisha wanae
Mimi mzee aliniondoa huko miaka ya 70 nikiwa nimemaliza tu shule

Pia nawashukuru kila leo wazazi wangu kwa kufikia uamuzi huo
Kweli mkuu vijana wengi tuliondoka miaka hiyo ila mimi sikujificha kwenye meli bali niliondoka kwa visa
Kuna ndugu yangu alizamia kwa meli na mpaka leo yuko nchi tofauti na mimi
Tuombeane tu sana
Duuh wewe ni mzee, kwahy hata kipind cha Munich Massacre ulikuwa ushazaliwa?
 
Mimi nilivyoona video ya Zuchu antenna niliogopa sana nikashindwa kulala😃
1000028271.jpg
 
Wewe ulikuwa hujazaliwa?

1984 Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine anafariki mimi nasoma habari gazeti la Mfanyakazi.
Mwaka themann na nne mama yangu yupo latano.

Mzee wangu Kiranga, heshima kwako.

Kwakweli, jf tunabishana saana. Pengine tungekuwa tunajua umri, pengine Ka heshima kangekuwepo.
 
Back
Top Bottom