Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Fifa world cup ya 1986 iliyo fanyika mexico na Argentina kuibuka ma champion nimeshuhudia vijana wawe na adabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa kama wazazi wako waliona kuwa kwa umri wako hukustahili kuangalia na hukustuka we ulikuwa jasiriNaiangalia thriller mara ya kwanza kwenye mwaka 97 au 98 hivi wakati huo nasoma chekechea shule ya nyota ya bahari ipo opposite na kanisa katoliki mwenge parokia ya maximillian kolbe.
Cassette ya huo wimbo ilikua inafichwa watoto tusiangalie, nikawa na mzuka sana kujua kuna nini ndani. Siku iyo home nipo peke angu nikaenda kuichukua chumbani kwa bro nikauangalia. Wimbo haukuniogopesha chochote.
Huo mwaka nilikuwa magomeni kwa shangazi yangu,hilo kombe tuliangalizia kwa sheijh yahya alikuwa na range,lumosine milango sita,screen ya TV yake ilukuwa mithili ya kioo cha mbele cha fusoFifa world cup ya 1986 iliyo fanyika mexico na Argentina kuibuka ma champion nimeshuhudia vijana wawe na adabu
Utotoni nilikua mtundu sana, nikiwa darasa la 3 tu wazee wakanipeleka shule ya bweniAhaaa kama wazazi wako waliona kuwa kwa umri wako hukustahili kuangalia na hukustuka we ulikuwa jasiri
Shkamoo mkuu.Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 pale Drive inn zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson
Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale mazombie sikukala usiku.
Drive in ndio ukumbi pekee ambao ungeweza kuangalia filamu ukiwandani ya gari,mimi niliogopanikaenda kujifungia kwenye gari.
Sasa hivi woga umenitoka ukijichanganya ninaweza kukuchinja koo
Kuhusu shehe yahya nimesikia masimulizi mengi kuhusu kuweka screen na kuonyesha bureeHuo mwaka nilikuwa magomeni kwa shangazi yangu,hilo kombe tuliangalizia kwa sheijh yahya alikuwa na range,lumosine milango sita,screen ya TV yake ilukuwa mithili ya kioo cha mbele cha fuso
Sasa mama yako kimiaka mimi nimesoma naye shule moja, tumepishana miaka michache tu.Mwaka themann na nne mama yangu yupo latano.
Mzee wangu Kiranga, heshima kwako.
Kwakweli, jf tunabishana saana. Pengine tungekuwa tunajua umri, pengine Ka heshima kangekuwepo.
Upo sahihi kabisaa.Sasa mama yako kimiaka mimi nimesoma naye shule moja, tumepishana miaka michache tu.
Niliwahi kusema hapa tunabishana na wanetu mara nyingine. Ndiyo maana naweza kuona mtu hajui kitu cha wazi kabisa kwangu.
Nilipofikiria hili, niliazimia kutohamaki nitakapokutana na mtu ambaye hajui mambo ya wazi kabisa kwangu.
Kwa sababu sijui umri wake.
Naweza kukuta mtu hajui mambo ambayo mimi niliyajua muaka 20 iliyopita, kwa sababu umri wake ni sawa na wangu wa miaka 20 iliyopita.
Hayo masimulizi ni ya ukweli,yule sheikh kashika hela kitambo japo mimi namuona kama masikini tu ile nyumba yake haikuwa na hadhiKuhusu shehe yahya nimesikia masimulizi mengi kuhusu kuweka screen na kuonyesha buree
Zamani world cup ilikua na mvuto na msisimko Sana Sana.
Amesema 1988 alikuwa kijana mdogo chini ya miaka 10.88 una kumbu kumbu nayo !
Shikamoo mzee!
Kwenye zile nyuzi za falme ya uingereza, kuhusu Prince Charles na Princess Diana ndio nilijua umebarikiwa umri mrefu..Marahaba mwanangu
Najua katika wazee na mimi nimo humu
Niombee afya njema
Nashukuru sana Mkuu, kwa kweli umri umeenda kiasiKwenye zile nyuzi za falme ya uingereza, kuhusu Prince Charles na Princess Diana ndio nilijua umebarikiwa umri mrefu..
Muendelee tu kutufundisha