Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
2,819
Reaction score
5,996
Mwaka 1989 wakati huo nikiwa na umri mdogo tu (chini ya miaka 10), niliwahi kutapeliwa na mtu ambae mpaka leo sikuwahi kumuona tena machoni kwangu.

Iko hivi...

Siku hiyo nilikuwa nimepewa Tsh 200 na shangazi yangu niende nikanunue sukari. Thaman ya Tsh 200 kwa kipindi kile ilikuwa kubwa sana. Basi nikiwa nakaribia mitaa ya dukani akatokea bro fulani ambae alionesha kunifahamu, akaniita na kuniuliza kama Hassan yupo nyumbani (Hassan ni mtoto wa mwenye nyumba alipokuwa anapanga shangazi yangu huko Mwananyamala) nikamwambia ndio yupo.

Wakati huo nilikuwa nimeshika ile hela mkononi, basi jamaa akanambia leta hiyo hela nikushikie ili uwahi haraka ukaniitie Hassan, umwambia rafiki yako Hamidu anakwita. Basi bwana kutokana na umri wangu mdogo wa kutochambua mambo ukijumlisha na utapeli wenyewe nilikuwa sijawahi kukutana nao before, nikajikuta namkabidhi jamaa ile 200 na mimi kwenda kumwita Hassani.

Kufika nyumban namwambia Hassan unaitwa na rafiki yako Hamidu, Hassan mwenyewe akashangaa kuwa hana rafiki anaeitwa Hamidu, ila akakubali tuongozane akamuone huyo Hamidu. Kufika maeneo niliyomuacha jamaa tukakuta jamaa ashaingia gizani na ile 200, kumcheki vichochoroni hola. Basi nikajua nishatapeliwa.

Namshukuru Mungu toka siku hiyo sikuwahi kukumbana tena na utapeli wa aina yoyote. Je kuna mungine yashawahi kumtokea haya miaka hiyo ya 80s na 90s au ilikuwa ni kwangu tu kutokana na umri wangu? Yaani bongo utapeli na wizi wa hapa na pale ulianza zamani sana aisee.
 
Basi weee ni mzee sana kama weee 89 umetapeliwa
 
Duh mleta mada kwa sasa haukosi 50 na zaidi. Ilikuaje mkuu ukatapeliwa miaka hiyo?
 
Shikamoo anko
 
Hiyo miaka umeipata vipi mkuu maana amesema mwaka 1989 alikuwa na umri chini ya miaka 10. Kutoka 1989 mpaka 2020 ni miaka 33, ukijumlisha na miaka 9 (maximum kwa alivyoandika) unapata kuwa hivi sasa ana miaka 42.
Yah nahisi nimejichanganya kidg mkuu. Ila jamaa kala chumvi kiasi chake 😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom