Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Umesikitisha Sana kuita watu mbwa....Sasa hivi C mbili na D moja unaingia advance
Tena unaweza kuta C za civics na nutrition, D ya Bible/Islamic knowledge
Chuo E mbili
Akitoka hapo hataki kazi za bodaboda, eti anataka kazi za hadhi yake, hivi wana hadhi gani hawa mbwa!!!!
Kuna watu wanafaulu Sana makaratasi alaf maisha Yana wapiga knot out.....
Mungu ameumba watu tofaut tofauti....Kuna jamaa chuo Kikuu nilikua na mwacha mbali kweny matokeo GPA....
Ila mm binafsi nilikua namkubali Sana tulikua tuna mwita Kitivo.... A.k.a profesa...
kweny content yupo vizuri sanaa....Ila ndio ivyo Ni mkali Ila GPA 2.O
Usiite watu mbwa bwanaaaa!!