Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

Sasa hivi C mbili na D moja unaingia advance
Tena unaweza kuta C za civics na nutrition, D ya Bible/Islamic knowledge

Chuo E mbili

Akitoka hapo hataki kazi za bodaboda, eti anataka kazi za hadhi yake, hivi wana hadhi gani hawa mbwa!!!!
Umesikitisha Sana kuita watu mbwa....

Kuna watu wanafaulu Sana makaratasi alaf maisha Yana wapiga knot out.....

Mungu ameumba watu tofaut tofauti....Kuna jamaa chuo Kikuu nilikua na mwacha mbali kweny matokeo GPA....
Ila mm binafsi nilikua namkubali Sana tulikua tuna mwita Kitivo.... A.k.a profesa...
kweny content yupo vizuri sanaa....Ila ndio ivyo Ni mkali Ila GPA 2.O

Usiite watu mbwa bwanaaaa!!
 
Forodhani na kibasila umezisahau
 
1970s kulikuwa na shule za binafsi? Wapi hiyo?

Wilayani kwetu mimi early 1990s kulikuwa na shule ya wazazi tu kama mbadala huku ‘wanaochaguliwa’ kwenda Secondary za Serikali kutoka kila shule hamzidi watu 8. Yaani the battle was cut-throat.

Nakumbuka vichwa vingi kadhaa ilibidi viachwe tu maana hapakuwa na namna nyingine
 
Pugu umesahau
 
Sasa hivi C mbili na D moja unaingia advance
Tena unaweza kuta C za civics na nutrition, D ya Bible/Islamic knowledge

Chuo E mbili

Akitoka hapo hataki kazi za bodaboda, eti anataka kazi za hadhi yake, hivi wana hadhi gani hawa mbwa!!!!
Chuo kipi E mbili, acha uongo
 
Kumbe we bado dogo Sana.

Ni kweli tuliochaguliwa gov. Schools tulionekana Tofauti, lakini form Two na form Four tuliwaacha wengi
 
Serikali imejitahidi sana kwa kweli...
 
USS
 
Umenena kiutuuzima sana. Nadhani bila ya uwepo wa shule za Private katika nyakati zile wengi wetu tungelikosa fursa ya kupata elimu, ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa na maana sana katika maisha yetu katika nyakati za sasa.
 
Uzi umenikumbusha mbali sana, Tanga mjini miaka ya 2002 kurudi nyuma shule za secondary zilikua nne tu , Usagara Sec, Tanga school (hii ilichukua vipaji) Galanos na Mkwakwani. Yaani hapo ilikua ukichaguliwa ujue we mwanaume hasa.
Kuna jamaa yangu alisomaga hapo Galanos Advanced Level...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…