Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini.

Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga.

Nilivyooona Mambo magumu ikabidi niende Geita. Hapo mambo hayakuenda vizuri. Japokuwa niliitwa kufanya interview lakini nilifeli screen test.Waliowahi kusotea watanielewa.

Nikawa nakaa geto na jamaa zangu, tulisoma nao O level
Mmoja alikuwa anatinga na ishu zake binafsi..

Siku mmoja kuna jamaa alikuwa anasotea pamoja na mimi akaniambia ni msindikize kuchukua mizigo yake. Nikawa nimemsaidia kubeba briefcase yake nikawa nimetangulia kutoka maeneo ya Bomani kuelekea jirani na uwanja wa mpira wa Kahangalala. Ghafla nikavamiwa na watu wakanikata mkononi mara mbili akaja jamaa mmoja baadae nilikuja kumjua kuwa anaitwa Rama. Akajaribu kunisaidia nae wakamkata mkononi. Wakapora ile briefcase. Ilikuwa na vyeti vya jamaa vyenye level ya Ftc.

Mpaka leo sijatoboa mambo magumu nauza Kangala tu. Nimetafakari maisha ni Safari ndefu

Mwaka 2004 nilikula pasaka nikiwa ninamajeraha makubwa sana.
 
Nilivyooona Mambo magumu ikabidi niende geita. Hapo mambo hayakuenda vizuri. Japokuwa niliitwa kufanya interview lakini nilifeli screen test.Waliowahi kusotea watanielewa.

Maisha safari ndefu.
 
Mungu atakusaidia mkuu. Ndio maisha.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kusontea ndo nini....mana kula kwa wanyamwezi akikusontea maana yake kakunyooshea kidole
 
Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini.

Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga.

Nilivyooona Mambo magumu ikabidi niende Geita. Hapo mambo hayakuenda vizuri. Japokuwa niliitwa kufanya interview lakini nilifeli screen test.Waliowahi kusotea watanielewa.

Nikawa nakaa geto na jamaa zangu, tulisoma nao O level
Mmoja alikuwa anatinga na ishu zake binafsi..

Siku mmoja kuna jamaa alikuwa anasotea pamoja na mimi akaniambia ni msindikize kuchukua mizigo yake. Nikawa nimemsaidia kubeba briefcase yake nikawa nimetangulia kutoka maeneo ya Bomani kuelekea jirani na uwanja wa mpira wa Kahangalala. Ghafla nikavamiwa na watu wakanikata mkononi mara mbili akaja jamaa mmoja baadae nilikuja kumjua kuwa anaitwa Rama. Akajaribu kunisaidia nae wakamkata mkononi. Wakapora ile briefcase. Ilikuwa na vyeti vya jamaa vyenye level ya Ftc.

Mpaka leo sijatoboa mambo magumu nauza Kangala tu. Nimetafakari maisha ni Safari ndefu

Mwaka 2004 nilikula pasaka nikiwa ninamajeraha makubwa sana.
Oooh Bomani napakumbuka pale juu juu kama unaenda kweny kale kamgodi kadogo kuna nyumba mbili zilikua zinafanana me nilikua nikiishi kweny moja kati ya hizo alafu jirani mmja alikua anaitwa Mama editha kama sio nurse basi alikua mwalimu wa primary
 
Back
Top Bottom