Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

Mimi swali langu ..yale mafuta yanayoelea juu ya kangala yanatokana na nini? au kimea kinasindikwa hadi kinatoa funza ndio wanatoa yale mafuta?
 
Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga.
Hii ilikuwa mwaka gani umeenda kakola?
 
Mimi swali langu ..yale mafuta yanayoelea juu ya kangala yanatokana na nini? au kimea kinasindikwa hadi kinatoa funza ndio wanatoa yale mafuta?
Acha kuharibu biashara ya wanaume
 
Maisha ni safari ambayo haihitaji kuikatia tamaa kabisa
 

Maisha bwana! Mungu atunusuru tu na majanga hujafa hujaumbika, pole sana mkuu!

Ulipata ulemavu au ndio baada ya tukio akili ilibadilika kabisa
 
Tulikua sehem,tukanunua mishikaki..
Wakati nakula yeye anaongea na simu,kwa kuwa imepoa akagusagusa then iliyobaki akaitupa...kuna jamaa alikua pembeni yetu akauliza hizo nyama zilizobaki mmezitupa?sijala toka jana.
Tukampa pesa kidogo ya sahani ya chakula,alishukuru sana...

Nikamwambia brother hii ridhki tunayopata sio kwamba sisi tunajua sana ama ni bora kuliko wengine.
 
Ni Lugha ya wapo Hii?
Nitaazima neno hili Kwa ruhusa ya wenye nalo ili nilitumie Kwa maandiko yangu
Hicho ni kiswahili mkuu, na hilo ni jina rasmi la Pombe za Kienyeji zinazotengenezwa kienyeji. Hasa zile pombe zinazotokana na nafaka๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ