Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

Ukaenda kakola mkoani kahama, hivyo vidato ulivyosoma vilikuwa ni vidato vya sehemu gani?
 
Pole sana muuza kangala, wanaume tumeumbwa mateso hivi naweza kupata mzigo wa kangala na je ni bei gani?
 
Pombe iyo, inawekwa hadi sukari, inatengezwa kienyeji kama komoni. Nyanda za Juu kusini ndio mapigo yake ayo.
Kangala orginal inatengenezwa na asali yenye masega yake. Pacha wake ni Kisuuda Barbaig(Mang'ati) huitumia kwa matambiko.
Usiifakamie kipompipompi utaumbuka!
 
Mimi swali langu ..yale mafuta yanayoelea juu ya kangala yanatokana na nini? au kimea kinasindikwa hadi kinatoa funza ndio wanatoa yale mafuta?
Yale sio mafuta ni masega ya asali na povu la ulezi!!
Kangala og kabla hujanywa kula kwanza otherwise suluali itafungwa kamba kwa chini full "kanyela mumo" na utazima 48hrs+!!!

Bila shaka hata mlevi mwenzangu mwandamizi Mshana Jr anasadiki juu ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…