mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa.
Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi za GSM.
Miaka hiyo ya 90s ndio kilikuwa kijiwe cha mabaharia wengi wakija nchini,tukiwa vijana tulitamani sana kazi hi.
Mwaka 2000 nilifanikiwa kuondoka nchini kiujanja ujanja bila kushirikisha familia,
Mwaka 2004 mdogo wangu mtoto wa baba mdogo ila tulikuwa nae pamoja utotoni baeakazamia South Africa kimazabe.huko akakutana na watanzania wengi pamoja ba washikaji tuliokua nao,asilimia kubwa wakiwa ni wahuni tu hawana muelekeo wa maisha
Kombe la dunia 2010 nchini Africa ya kusini likamkuta huko.
Polisi wa South Afica waliingia mtaani kukusanya wahuni wote na kuwafungia kwenye magodown ,wakufungiwa TV humo na kupewa chakula bure kwa wiki sita,wiki mbili kabla ya kombe la dunia na muda wote wamichuano hiyo.dogo naye hajubaki salama alikuwa miongoni mwa wahuni waliokamatwa bila kosa
Michuano ikatamatika kwa anani na wahuni wote wakaachiwa huru.
Mwakani tunaandaa CHAN serikali yetu inaweza kuigambinu hii,wahuni wote wafungiwe kwenye magodown,mpira mcgezo wa kihuni.