Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nani kakudanganya?it will never be like unavyofikiriaAmani iwe kwenu,
Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.
Naam,kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.
Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.
Ajizi nyumba ya njaa!
Tusidanganyane, Magufuli angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wote wa 2020. Magufuli aliwekwa na NEC na Police kuwa Rais mwaka 2020.Amani iwe kwenu,
Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.
Naam,kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.
Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.
Ajizi nyumba ya njaa!
Semaga ukweli kuwa kama SII nguvu ya Dola kingeshajizika chenye hata Sasa ni majaribio ya kujiosha TU kama hakiishi Kwa msaada wa virungu, marisasi na vilipuzi machozi, ukiongezea na mbeleke ya neck na karani wa vyama🤔.Amani iwe kwenu,
Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.
Naam,kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.
Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.
Ajizi nyumba ya njaa!
Mitandaoni Magufuli ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
Kitaani Magufuli ni shujaa watu wanampenda mpaka sifa nyingine wanamuongezea.
Ile suprise waliyoona watu wa mitandaoni wakati wa msiba wa Magufuli tuombe Mungu isije kujirudia kwenye chaguzi against yoyote anaesema tofauti juu ya Magufuli.
Inawezekana Magufuli aliletwa kuanzisha siasa mpya kwenye nchi. Tunayoyaona mtaani yanaeleza lugha fulani ambayo unaweza kuwa mkaidi kuikubali ila wakati siku zote ndio msema kweli.
Kama ya wasiojulikana ni zaidi ya Ile ya umma, tutajua hapo hapo🤸Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli mana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo
Mwenyewe unakubali wanamsifu mpaka wanamuongezea. Ina maana hawajui chochote ni mbumbumbu tu.Mitandaoni Magufuli ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.
Kitaani Magufuli ni shujaa watu wanampenda mpaka sifa nyingine wanamuongezea.
Magufuli alikuwa na misimamo yake tata na haikueleweka na kundi la elites.Magufuli kimsimamo namfananisha na Rais wa Misri alietokana na Wanyonge Mohamed Mursi
Alipochaguliwa Mafisadi ya Egypt yaliyojazana Jeshini yakiongozwa na Generali Abdilfatah Alsisi yakishirikiana na Mabeberu yalidhan yanaweza kumshawishi alegeze misimamo yake ya kutetea Raia
Yalivuyoshindwa kumuangusha yakakusanya majeshi kumtisha alegeze Msimamo akakataa wakamtoa na wakamfunga lakin akiwa Gerezani msimamo wake ukabaki vile vile hadi akauwawa akiwa Kizimbani kwa sumu wakadai eti Matatizo ya Umeme wa Moyo
Mbona ni kama wengi umewaacha, Orodha bado ni kubwa!Hizo kura zilimuingiza bungeni
1. David Silinde
2. Tulia Ackson
3. Mbunge Hai
4. Mrisho Gambo
5. Majimbo mawili singida
6. Majimbo 6 DSM ya Kibamba, ubungo, kawe, segerea, ukonga na kinondoni.
Ni kweli vingine hakuweza kufanya sema mapenzi watu yamewazidi.Mwenyewe unakubali wanamsifu mpaka wanamuongezea. Ina maana hawajui chochote ni mbumbumbu tu.
Ndiyo maana Mungu akamfurusha Magufuli mapema maana anapendwa na wapumbavu
Magufuli kwenye free will kukubalika kwake kura angepata less than 40%Tusidanganyane, Magufuli angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wote wa 2020. Magufuli aliwekwa na NEC na Police kuwa Rais mwaka 2020.
Acheni kumtukuza Mwendazake ambaye alikuwa mwizi, MWONGO na dikteta aliyetaka kuiharibu Nchi yetu.
CCM wakishindwa mwaka 2025 watashindwa kama chama tu na siyo huyo pimbi wenu tuliyemzika Chato