Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Hajawahi kuwa na sufa yoyote nzuri zaidi ya kuwa mwizi mbabe na muongo kupata kutokea. Wenzie wakijaribu kusema ukweli kumhusu mashabiki wake itabidi mfe siku mbili na mfufuke siku ya tatu.
Tukisema Magufuli alichukiwa na watu wa vyeti feki kumbe ni kweli.

Sufa ndy mdudu gani?
[emoji23][emoji23]

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Amani iwe kwenu,

Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.

Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.

Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.

Ajizi nyumba ya njaa!
Wananchi tumeichoka CCM kwa kweli
 
Back
Top Bottom