Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Amani iwe kwenu,

Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.

Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.

Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.

Ajizi nyumba ya njaa!

Neno lako lina ujumbe mzito sana. Naam, mlinzi wa Tanzania hajawahi kusinzia wala kulala
 
Amani iwe kwenu,

Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.

Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.

Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.

Ajizi nyumba ya njaa!
Ambae huyo"Magufuli" mwingine ndo Ni nani ndani ya CCM?
 
Mbona husemi ambavyo alitumia kura za kwenye vikapu na bahasha ambazo zimetikiwa tayari kwa mgombea wa CCM mwaka 2020 ndio kukubalika huko MATAGA?
images (13).jpeg

Tusidanganyane, Magufuli angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wote wa 2020. Magufuli aliwekwa na NEC na Police kuwa Rais mwaka 2020.

Acheni kumtukuza Mwendazake ambaye alikuwa mwizi, MWONGO na dikteta aliyetaka kuiharibu Nchi yetu.

CCM wakishindwa mwaka 2025 watashindwa kama chama tu na siyo huyo wenu tuliyemzika Chato
Wewe una chuki binafsi. Magufuli sie watu wa ngazi ya chini tulimpenda sana. Mwacheni apumzike kwa amani
 
Kwa hiyo wananchi watapigia kivuli cha Magufuli kura?
CCM italeta mgombea mmoja SSH, na vyama vingine hivyo hivyo kwenye uchaguzi.

Juzi mikoa yote ya CCM imempa kura zote Kinana na itakuwa hivyo hivyo kwa mwenyekiti wake 2025.
Yusuf Makamba amesisitiza kazi za Kamati Kuu,NEC ndizo kamati za ufundi kumtafutia ushindi SSH.
Bado wapiga kura wengi ni wanawake.
 
Wewe una chuki binafsi. Magufuli sie watu wa ngazi ya chini tulimpenda sana. Mwacheni apumzike kwa amani
Hakuna mwenye akili timamu akampenda anaedhulumu haki za watu za kuishi,mkabila na mdini
 
Amani iwe kwenu,

Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.

Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.

Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.

Ajizi nyumba ya njaa!
Unamsema dikteta aliyetumia bunduki na risasi kuiuza ccm?
Alimchukiza hata Mungu na ikalazimika amuache afie kwenye zahanati.
 
Mitandaoni Magufuli ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii.

Kitaani Magufuli ni shujaa watu wanampenda mpaka sifa nyingine wanamuongezea.

Ile suprise waliyoona watu wa mitandaoni wakati wa msiba wa Magufuli tuombe Mungu isije kujirudia kwenye chaguzi against yoyote anaesema tofauti juu ya Magufuli.

Inawezekana Magufuli aliletwa kuanzisha siasa mpya kwenye nchi. Tunayoyaona mtaani yanaeleza lugha fulani ambayo unaweza kuwa mkaidi kuikubali ila wakati siku zote ndio msema kweli.
Hajawahi kuwa na sufa yoyote nzuri zaidi ya kuwa mwizi mbabe na muongo kupata kutokea. Wenzie wakijaribu kusema ukweli kumhusu mashabiki wake itabidi mfe siku mbili na mfufuke siku ya tatu.
 
Amani iwe kwenu,

Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.

Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta washauri nguli ambao walitushauri tukiwa majukwaani tujinadi kama chama cha Magufuli na sio CCM.

Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.

Ajizi nyumba ya njaa!
Majiraniii amkeni leo kwaoooo!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acha kuota mchana wewe tupa koti la kijani hilo then kamata bango udai "KATIBA MPYA"

Sijamsikia Elitwege sijui nanung'unikia wapi saizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli vingine hakuweza kufanya sema mapenzi watu yamewazidi.

Lakini awa watu kuna meseji wanaifikisha uwe ulimchukia Magufuli kupitiliza au ulimpenda kupitiliza, kama una akili zimetulia huwezi puuza watu wana sababu ya kumuamini Magufuli.
Hao wamepigwa upofu kama Magufuli na wenzake walivyomuamini babu wa Loliondo.
 
Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo
Umma gani unaolazimishwa kudanganywa?
 
Kura za 2020 zilipigwa na vyombo vya Dola hasa jwtz katika Kambi Moja hapa DSM iliyopo karibu na uwanja wa Taifa. Zikapelekwa mikoa ambayo magufuli alikuwa hakubaliki na wabunge wake. Zilipigwa hizo kura mwezi mzima wa kumi wakati wa kampeni.

Hizo kura zilipelekwa nyingi sana Mbeya na Songwe then Arusha Kilimanjaro. Kidogo zikapelekwa kusini na singida.

Hizo kura zilimuingiza bungeni

1. David Silinde
2. Tulia Ackson
3. Mbunge Hai
4. Mrisho Gambo
5. Majimbo mawili singida
6. Majimbo 6 DSM ya Kibamba, ubungo, kawe, segerea, ukonga na kinondoni.

Kwahiyo tunaweza kuwaweka peupe maana hata wale jwtz waliokusanywa na kupiga hizo kura pale kambini hawakulipwa hata mia Kwa mwezi mzima.

Wengi wao walitoka nyumbu na kupelekwa mjini kujaza hizo kura kabla ya kuzisambaza mikoa tarajiwa.

Magufuri alikuwa mbaya sana
Alikuwa wa ovyo sana.
Ndiye muasisi wa hata kesi ya kubumba ya Mbowe
 
Back
Top Bottom