Tusidanganyane, Magufuli angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wote wa 2020. Magufuli aliwekwa na NEC na Police kuwa Rais mwaka 2020.
Acheni kumtukuza Mwendazake ambaye alikuwa mwizi, MWONGO na dikteta aliyetaka kuiharibu Nchi yetu.
CCM wakishindwa mwaka 2025 watashindwa kama chama tu na siyo huyo wenu tuliyemzika Chato
Mkuu lazima tuambiame ukweli.
Uchaguzi wa mwaka 2020 Magufuli alikuwa anakubalika Sana kwa wanainchi.
Tatizo lilikuwa kwa wabunge na wenyeviti wa mtaa na madiwani kwa ticket ya CCM,
Wengi waliwachokwa kutokana na kutokuwa na ushawishi mkubwa kwa wanainchi.
Ulikuwa ukikuta watu 10 ukawauliza kuhusu Magufuli,
Basi 7 watasema Ndiyo,
na 3 watasema Hapana.
Lakini kwa hali ilivyo sasa,
Katika wanainchi 10 ukiwauliza kuhusu uongozi uliopo madarakani , watu 3 watakwambiya Ndiyo na 7 watakwambiya Hapana.
Chama kimekosa ushawishi kwa wanainchi.
Kama uchaguzi ukiwa wa haki basi Kura za Hapana zitakuwa nyingi kwa Ccm kuliko Kura za Ndiyo.
Ndy sababu ya kuwarejesha Safu nzima ya kanali,pamoja na bao la mkono kundini.
Yote ni maandalizi ya uchaguzi wa figisu 2025.
Ni vile Tanzania hakuna upinzani wa kweli,
Lakini wapinzani kama wangekuwa na watu sahihi kuongoza hii inchi,
Nadhani 2025 ndy watapita kwa urahisi mno kuliko nyakati zozote ktk hii inchi..