Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Makonda alikuwa afisa kipenyo wa wahuni ndani ya serikali ya awamu ya Tano
 
Hayo sio mambo ya ubishi wa Simba na Yanga.

Kujenga hoja unahitaji elementary knowledge ya how natural resources industry work na abc za contract law.

Mimi sibishi for the sake of it. You have to read ndio maana wazungu wanajibebea.

Hata ukiangalia team ya wazungu kwenye arbitration imejaa watoto ambao ni new graduates. That’s how simple they see us.

Trust me, Lissu hajui hayo mambo nothing personal.
 
Wewe utakuwa timu wanyonge. Nikuulize tu kitu kidogo, baada ya Mh Lissu kushambuliwa Jiwe alifanya nini zaidi ya kumtesa?
 
Mkuu kwa hiyo na wewe umejiunga team wanyonge? Jiwe alikuwa laana kwa Taifa
 
Ndio maana nikasema ur point Is useless maana umesema Serikali ilikua na lawyers wasiojua kitu (Including kabudi, Osoro n.k) cha ajabu unasemq Lissu naye hajui kitu.

Meaning wewe pekee ndio unajua mikataba kuliko serikali na Lissu? Hongera sana
 
Great observation!
 
Aisee! Unajua role ya mwananchi kama Lissu na what was supposed to be the response of the government to Mr. Lissu? Was it to shoot him for what you purport him to be a "nuisance"?
Well, sidhani kama ni sahihi kwamba wananchi wote lazima tuwe na hizo "qualifications" ndio tuwe nafasi ya kuhoji mambo ya natural resources zetu.
 
💯 %correct Mungu hadhihakiwi na ipo siku tutaujua ukweli

Sijawahi kuamini na sitokaa niamini kama Rais Magufuli alihusika kwenye shambulio la Lissu

Sisi watu wa rohi tunajua hakuusika bali wanamtandao walifanikisha hilo ili KUMCHAFUA kama walivyokuja na agenda ya miaka 7 kutaka kumfanya Rais Magufuli atang'ang'ania kukaa madarakani

Mungu bado tunakuomba juu ya wanamtandao tunaomba ufanye jambo
 
Suala la JPM kutaka kumuua Lisu kwangu mimi binafsi bado ni 50/50 sitaki kuamini moja kwa moja kwamba alihusika au hakuhusika... ila nina imani mauaji na matukio mengi ya utekaji yalikuwa yanaratibiwa na wana mtandao tangu awamu ya tano!
 
Hiyo wala haiondoshi ukweli kwamba lile shetani lenu la Chato lilituharibia sana nchi
Sheta aliondoka hili kuwapisha wana mtandao wairekebishe nchi yenu sio?

Kwamba sasa hivi akina Angela Kiziga wako bize wanairekebisha nchi au sio?

Aisee halafu unakuta takataka kama wewe unayetema pumba hapa, hauna mbele wala nyuma zaidi ya kulama makalio ya mafisadi.
 
Ndio maana nikasema ur point Is useless maana umesema Serikali ilikua na lawyers wasiojua kitu (Including kabudi, Osoro n.k) cha ajabu unasemq Lissu naye hajui kitu.

Meaning wewe pekee ndio unajua mikataba kuliko serikali na Lissu? Hongera sana
Wameshawahi shinda kesi?

Amini usiamini ndege iliposhikwa S.A akili za kuikomboa kwa angle ya hatuna treaty ya kukadhia kesi za madai na hiyo nchi. Kwa hivyo hawana uhalali wa kukamata mali za Tanzania. Hilo wazo nina uhakika waliliokota JF from yours truly.

Ndege iliposhikwa CANADA, JF pia iliwaambia waangaike na Bombadier hawaja kamilisha purchase agreement ya kukabidhi ndege kwa mteja wake kwanza. They didn’t follow that, wakaenda na akili zao wakaishia kulipa hela. Wakati walitakiwa kuwafungulia Bombardier kesi ya madai.

Hawa wakiambiwa watumie sponsored article na wao kutoa pressure kwa wazungu kwa kulipia nakala nchi za Africa hawajui.

Ni hivi hawashindwi hizo case kwa sababu wazungu wanajua sana, isipokuwa they are just bad lawyers.

Na ukiwasikia tu unaona, hata IGA wameahindwa kujua ni stabilisation clause tu.

You seem to think mtu akiwa na Phd ni all knowing, ushakutana na hawa Phd wa Nigeria (my god) hawa watu ni ambitious na hizo title tu. Wengi ukikaa nao au kama umewahi kuwa mwanafunzi wao 70% yao ni bogus tupu.

Usitishike na Phd za watu, soma wewe mwenyewe kama unataka kujadili mambo sio kutumia third part knowledge. Sasa how would you know ya merit.

Hao watu wengi hawajui hayo mambo na wenyewe, huo ndio ukweli. Ndio maana hawashindi kesi nje ya Tanzania, sio kwa bahati mbaya.
 
Kiherehere chake ndio kilimponza, alishaambiwa awaache wenzake wafanye yao.

You need to be very desperate kuamini Lissu ni mzalendo. Hata watu aliokuwa akifanya nao kaI kwa karibu kwa miaka mingi, leo hii hawana ukaribu nae tena.

I agree Lissu aachwe na hiyo kesi ya kubuma, lakini huo uzalendo hana.
 
Ni kweli inawezekana lakini
Tundu Lissu hakuanza kuzitetea mali asili za TANZANIA 🇹🇿 Kipindi cha Magufuli! Alianza hata kabla huyo Magufuli hajafikiria kuja mjini achilia mbali kuwa mbunge story ni ndefu lakini fanya marejeo ya kipindi kinaitwa jeneral on Monday chanel 10. Miaka ile ya 2000 mwanzoni
 
Kweli kabisa yule ni shetani kwenu nyie majinga yenye vyeti feki aliyashugulikia sana hivyo vinyeo vyenu
Alitushughulikia!!
Kiko wapi sasa.
Sie twaendelea kula mema ya nchi wakt lenyewe linaozeana tu huko Chato.
Matusi hayakusaidii.
Muhimu lile shetani lenu la Chato lilikufa kifo cha aibu. Liliwaaminisha litaishi milele sasa mmebaki wajane
 
You need to be very desperate kuamini Lissu ni mzalendo. Hata watu aliokuwa akifanya nao kaI kwa karibu kwa miaka mingi, leo hii hawana ukaribu nae tena.
Ghafla nakuhurumia...humjui Lissu na hukubahatika kumjua toka awali na hasa kabla hajawa mwanasiasa!
 
hawa wajinga wanataka kutuona sisi wapumbavu

math ain't mathing here
 
Alitushughulikia!!
Kiko wapi sasa.
Sie twaendelea kula mema ya nchi wakt lenyewe linaozeana tu huko Chato.

Matusi hayakusaidii.
Muhimu lile shetani lenu la Chato lilikufa kifo cha aibu. Liliwaaminisha litaishi milele sasa mmebaki wajane
Anaekula maisha ni abduli sio wewe fukara unaeangaika humu jamii forum kutetea Fisadi abduli we ukiwa umechoka na njaa huku ukiwa na mshati wako wa kijani mwenzio Kila siku anaingiza mabilioni
 
Wewe utakuwa timu wanyonge. Nikuulize tu kitu kidogo, baada ya Mh Lissu kushambuliwa Jiwe alifanya nini zaidi ya kumtesa?
Afanye nini Kwa mjinga aliekuwa anatumwa na kina kikwete kuhujumu nchi Kwa kupingana na mambo anayofanya mzalendo magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…