Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Kilema? Si bora yeye anachechemea ila akili ziko sawa kuliko wewe mlemavu wa akili!! Una kipi unachomzidi Lissu wewe? kapambane na umaskini wa familia yako but hautawahi fikia legacy ya Lissu kwenye chochote kile.

Embicile
Legacy ya ushoga aliokua anafanya ubeligiji kweli sitoweza kuifikia mungu kaniepusha
 
mikataba ya rasilimali haina jina tu bali ina structure and elements Hata hivyo kusema kwamba Lissu hajawahi kugusa kabisa muundo wa mikataba si sahihi Katika mijadala yake bungeni na kwenye maandiko yake hasa akiwa Waziri wa Nishati kivuli mara nyingi amekuwa akirejea tofauti kati ya production sharing agreements na concession service agreements.Amesisitiza kwamba tatizo kubwa Tanzania si tu aina ya mkataba, bali ni jinsi fiscal terms na stabilisation clauses zimewekwa ambazo zinapunguza uwezo wa nchi kujipatia mapato.
Kwa hiyo hoja kwamba Lissuhana uelewa wa muundo ni kudiminish record yake bila ushahidiKwahiyo wewe bwege kama una mimba ya Lissu jifungue tu taratibu akitoka korokoroni atatoa za matumizi
 
Legacy ya ushoga aliokua anafanya ubeligiji kweli sitoweza kuifikia mungu kaniepusha
We tokea thread yako ya kukataa mtoto nishakudharau kitambo. Either una matatizo ya akili au hayo madonda ya tumbo yamehamia kichwani. You're an embarrassment to the society.

Huyu mtoto niliyemkataa ananikosesha raha

Mtoto wa kiume unaandikaje thread kama hii? Kama sio mchicha mwiba?

 
Kwa mfano ingekuwa wewe ndio una mamlaka, ungetumia mbinu gani ya kuwaita waende ku-renegotiate mkataba.

Lissu alishinda vipi kisheria nchi ilishatikiwa MIGA?

Mshindi alikuwa mmoja tu Magufuli, mwisho wa siku na ACCACIA yenyewe ikafa kwa forceful take-over kwa ukaidi wao wa kutotaka kukaa mezani.
 
Kasome kitabu chake huyo jamaa alicholeta kwa madai, ata vyuoni wanatumia sijui wanafunzi wanawaambiwa wakakisome.

Kwenye hiko kitabu chake ni wapi kazungumzia muundo wa mkataba wowote aliokuwa analalamikia.

Kodi sio swala la mkataba na aliwezi kuwa; simply kodi ni sheria inayotungwa na bunge.

Humo kwenye kitabu chake analalamikia mambo ya capital allowance, tax incentives; sasa hilo ni tatizo la mwekezaji au serikali.

Mambo ambayo have nothing to do with contract terms for the most part. Ni hivi acheni kupotosha watanzania.

Ndio mwisho wa siku watu kama hawa mnaenda majukumu yaliyo juu ya uwezo. Ni Sawa na Kabudi kuongoza team ya mjadala wa mikataba ya natural resources huo si ndio utani wenyewe.

Yote sababu ya kusifia watu ohoo Kabudi sijui GPA aijawahi fikiwa mpaka leo, what has that got to do na maswala ya mikataba mtu ambae hajui maswala ya biashara.

Watanzania tunatabia ya kudhani huko nje vitu na vyenyewe vinafanywa kiholela kama huku kwetu.

Angalia vizuri video ya arbitration kati ya Indiana na Tanzania; upande wao wamejaza wanasheria watoto watupu that’s how easy pickings wanasheria wetu walivyo.
 
Uliwai sikia wapi tundulisu anamuongea Mabaya kikwete kwenye jukwaa?

..hujamsikia Tundu Lissu akisema JK anastahili kushtakiwa kwa ufisadi aliofanya akiwa Waziri wa Madini na Nishati? Migodi ya Bulyankulu na Nzega kama sikosei iligawiwa wakati JK akiwa Waziri.
 

..MIGA huwa wanashtakiwa wale sugu kabisa waliokaidi hukumu za mamlaka za kimataifa za usuluhishi.

..Jpm alikuwa muoga akasalimu amri na kulipa mafaini makubwa katika hatua ya mahakama za usuluhishi wa migogoro.

..Acacia imekufa vipi wakati kampuni yake tanzu Barrick ipo? Mahusiano ya Accacia na Barrick ni sawa na Azam na Bakhresa Group.

..Accacia ilikuwa ni 30% shareholders wadogo, na 70% Barrick. Sasa hao shareholders wadogo wameuza hisa zao kwa Barrick na kusepa.

..Kitendo cha shareholders kuuza share ndio kiliwezesha Barrick na serikali kuendelea na mazungumzo na kufikia makubaliano.

..Tundu Lissu alishinda kwasababu yeye hoja yake ilikuwa kwamba hatua za Jpm zitapelekea nchi kuwa na makesi makubwa makubwa na kuingia gharama ya kulipa faini. Wakati huohuo, Prof.Kabudi, Prof.Mwakyembe, na wengine, walikuwa wanadai tuko vizuri tukishtakiwa tutashinda.
 
Kuna mambo mengi ya kupinga kwenye siasa. Mengine yaruke tu hasa ukiona taifa lako linapambana na watu wa nje busara ni kukaa kimya. Lissu hana mipaka sio kwamba akuonywa mara kadhaa aache.

Barrick na ACCACIA zulikuwa ni kampuni mbili tofauti (as legal entities). Kwa maana hiyo ACCACIA ingekuwa na changamoto zozote za kisheria Barrick hawasuki wao ni shareholders tu.

Kisheria ukiwa na 70% unaruhusiwa kufanya forceful takeover nchi nyingi za west (as opposed ukiwa 51%) process inaweza kuwa ndefu kidogo.
Pamoja na hivyo kulikuwa na resistance kutoka kwa management ya ACCACIA kujaribu kuzuia takeover. Barrick walijua kama kuvuna washafanya sana walau warudishe kidogo Tanzania.

Bakhresa group ni kitu kingine, it all depends na legal status ya biashara zingine za Azam (groups nazo zina complications kadhaa depending na usajili). Kwa Bakhresa nadhani zote ni 100% under one ownership that’s different na owning shares to a registered PLC kama ilivyokuwa kwa ACCACIA.

Lissu yeye lengo lake lilikuwa kuona Magufuli ana fail nothing more zaidi ya utoto tu. Sio kwamba wenzake hawakumuomba kwanza aachane na harakati zao; yeye kutwa kwenye media anaongea mashudu tu kwa mambo ambayo hana uelewa nayo.
 
Utaratibu uliopaswa kutumika ni
Kutuma Notice of Renegotiation rasmi kwa mujibu wa mkataba, Pili
Kufanya Joint Review Committee Serikali na Kampuni na tatu
Kutumia independent valuers na auditors kuthibitisha hasara au utajiri uliopotea.na mwisho kama Endapo hakuna makubaliano ilitakiwa kwenda kwenda international arbitration.
Kwa hiyo hoja ya Lissu ni kwamba Magufuli aliacha due process akaamua kutumia nguvu za kisiasa na propaganda za makontena ya dhahabu na makinikia bila kufuata taratibu za kimkataba.
Kwa mujibu wa kumbukumbu za kisheria,Tanzania ilishatakiwa na Acacia kupitia Barrick Gold kwa breach of contract na resource nationalism laws Sheria mpya za madini 2017 ,Lissu alishinda hoja kwa mantiki ya kisheria kwamba Sheria za Tanzania hazifutii nguvu ya mikataba ya kimataifa yaani sanctity of contracts principle Ukibadilisha sheria kwa upande mmoja unilateral legislation unakiuka international investment law Tanzania iliingia hatarini kupewa heavy arbitral award fidia kubwa ya mabilioni.
 
Unaweza kufanya renegotiation or when starting a new one bila ya data sahihi? Kama unakumbuka vizuri ata ACCACIA na Barrick walilumbana sana on value of the company based on estimated reserves.

Sasa unadhani kwanini Magufuli alianza na kuzuia makania?

Kwanini serikali ili overestimate value ya containers na tax losses? Ule ulikuwa ni wazimu tu au strategy ya kuwaleta mezani?

ACCACIA walikuwa tayari kukaa mezani? Kwanini Barick waliingilia kati?

On the surface watanzania uwa tunadhani kila kitu ni rahisi. You do now negotiations ni sehemu complicated sana ya mkataba unadhani unaandika barua tu watu waachie favourite terms zao.
 
Hatua za serikali hazikuwa makini bali ziliweza kuonekana kama miscalculation ya kisiasa.
Ziliharibu taswira ya Tanzania kwa wawekezaji zikapunguza uwekezaji mpya na mwisho wa siku Barrick akaingia si kama compromise ya ushindi wa Tanzania bali kama rescue ya uwekezaji uliokuwa umevurugika.
Kwa hivyo matokeo yalikuwa mixed Tanzania ilipata political win kwa wananchi wake lakini kiuchumi na kibiashara iliweka mfano wa unpredictability.
 
Why unadhani humu kama umesoma posts zangu zote kuna sehemu nikaandika serikali yetu haiwezi hata ku-utilise sponsored articles za nchi zingine za Africa inapokuwa kwenye migogoro.

Unadhani huko duniani media zote zinajua what’s going on in Tanzania.

Vita mbinu usione habari yako inaongelewa sana huko duniani ukadhani hiyo ndio view au wazungu wana interest. La hasha watu wanalipia hizo airtime au article yaani upewe front cover bure bure to on the economists. Ndio maana zinaitwa sponsored articles na wapambe wao wanazileta Tanzania mjue.

Halafu who’s better to shape the global narrative kuhusu mazingira mabaya ya uwekezaji zaidi ya gazeti la Economists au Wall Street Journal. Ukishaandikwa na hao, wengine wanajua hiyo ni credible source wanaitumia for reference kuhusu nchi husika and that’s how a narrative is built. Wakati source yao yenyewe ni mtu anaitwa Kabendera (taahira) mwingine.

Negotiations tu za awali uwa zinavurugu machi, kwanini mpaka sasa LNG mkataba aukamiliki unadhani wazungu ni watu wenye huruma waje na fair terms tu.

Seuse renegotiations za unfair terms ambazo zina faida kwao tayari. Ninakupa challenge nenda kalete mfano mmoja tu wa nchi iliyo renegotiate mkataba wake wa natural resources bila mikiki.

Ndio kama wewe, unakuwa so gullible unaamini kweli Magufuli aliuwa uchumi? Wakati watu wako vitani of course utasoma bad press za Tanzania kuhusu uwekezaji kipindi hiko. Bado tena nchini kwako kuna taahira mmoja anapiga kwa ndani.

Hivi Tanzania imeshawahi kukuwa kwa zaidi 7.5% au miujiza hiyo ilikuwa kipindi cha Magufuli tu.
 
Sawa, wana mtandao pia wakamhujumu JPM kwa kushinikiza Spika wa bunge asitoe pesa za matibabu, malipo ya stahiki zake na mwisho kumfukuza ubunge wake!
Wanamtandao pia walimtuma Polepole amuite TAL kibaraka wa mabeberu
 
Kosa la JPM ni ushamba. Sheria ya adui ni moja tu. Eliminate maana once enemy always enemy
Hii sheria Putin anaifanyia kazi vema

Angeweza kumpiga kifungo cha maisha na kumfilisi.

Umeona Enemy wakapata chance, chap wakaondoka nae ….. hiyo ndio sheria ya once enemy always enemy

Nimechunguza JPM qlikuwq muoga sana

It costed him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…