Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Dhalimu magu hasafishiki, na yeye ndio aliagiza Lisu auwawe fullstop. Hivyo tafuta dodoki lingine.
 
Unavo code switch unajiona expert!! Hiyo mikataba ilisainiwa na wafuasi wa Lissu (as you call them)....
Hiyo mikataba imepigiwa kelele mara ngapi nje na ndani ya Bunge??

Ulivyo kichwa watermelon after 20yrs from now utakuja useme Watanzania hawajui sheria za mikataba ya bandari baada ya DP WORLD kufanya yao....

Pathetic
 
Kabla ya Magufuli kuwa rais ni lini aliwahi kukiri kuwa tunaibiwa? Maana Lisu tulimuona akasema hivyo hadharani. Au Magufuli alisubiri hadi awe rais ndio ajionyeshe mzalendo na kujua kuwa tunaibiwa?
 
Binafsi huwa najiuliza ni kwanini Lisu alikuwa akimpinga JPM kwa mambo mengi wakati hulka yake naya JPM ni kama zinaendana sana hasa kwenye maswala ya haki na rushwa.
Wewe JPM HUMJUI!!! Yule mwamba alikua ni muoga vibaya muno na alikua hana cha haki wala nini!!
 
Kabla ya Magufuli kuwa rais ni lini aliwahi kukiri kuwa tunaibiwa? Maana Lisu tulimuona akasema hivyo hadharani. Au Magufuli alisubiri hadi awe rais ndio ajionyeshe mzalendo na kujua kuwa tunaibiwa?
Wewe! Umesahau ile clip ambayo kitwanga alikuwa anamwambia JPM kuwa achukue Fomu- akasema akiwa Rais Wezi wa Madini yetu watalimia meno!!!! Hii ilikuwa hapa JF.
 
Ndo na mm najua now Wanamtandao walikua wanamtumia pia Lissu... wanamtandao walichofanikiwa kutuaminisha watz ni kusema Jpm ni dictator ..tukamchukia...kumbe alkua anapitia mengi maskini..ila ukiskiza clips zake alikua muwazi[emoji3525][emoji24]
Burunji nyabbo??

Hapo umecomment kimapenzi, mfatilie Lissu kuanzia kwa Nkapa, Kikwete (network member) Magufuli mpaka kwa mama.....

Jamaa hapepesi macho,,, kanyooka...

Kwahiyo kipindi cha Born Tee alikua anatumiwa na nani?
 
That I know already kuhusu DP World kama kwa mijadala ya Tanzania wameshindwa elewa IGA ni kitu gani that’s enough of a telling sign.

They dint get what’s IGA sasa sitegemei aspects za consideration ya mkataba which is finance.

Watu wakisema labda mkataba ni PSA una elememets ambazo lazima ujue terms za mkataba na kuna minumum ya aspects kama saba za mkataba,

Hakuna mkataba usioukuwa na aspect ya stabilisation clause (ndio IGA) kwa sehemu kubwa au bilateral treaty.

Aspects zingine sita au zaidi (contract terms) ina cover mambo mengine kabisa.

Sasa ukiona mtu anazungumza upuuzi wa MIGA hajui what stabilisation clause covers.

Lissu, Hajui maswala ya mikataba so are you.

Shida yenu ni kudhani mnaweza kuongelea mambo ambayo hamjawahi kujifunza hata zama hizi za free information.

Shida yenu ni emotions, uwezi kuongelea mambo ambayo una hata elementary knowledge nayo,

For some reason Tanzania tunadhania it’s kujenga hoja kwa mambo ya kufikiria tu. Au kutetea watu kwa sababu za kufikirika tu.
 
Ww ulikuwa wapi wakati tunaingia hiyo mikataba ya wizi? Maana bora Lisu alikuwa anapiga kelele kuwa kuna mikataba ya wizi, na ni ukweli uliokuwa ukifahamika. Ww hukupiga. kelele, wala hukuwahi kusaidia kuzuia. Na kama unajua kuliko hao akina Kabudi wapambe wa Magufuli, mbona hawakukuita ukajadili na hao wazungu?
 
Na hata fikra ya kumfukuza professor Assad baada ya kuulizia zile trioni 1.5 .zilikuwa ni wazo la wanamtandao
Hawa hawamjui JPM!! Waulizeni matajiri wa uvuvi kanda ya ziwa, wachimbaji almaarufu Makota!!

Walichofanyiwa na JPM
 
Wewe! Umesahau ile clip ambayo kitwanga alikuwa anamwambia JPM kuwa achukue Fomu- akasema akiwa Rais Wezi wa Madini yetu watalimia meno!!!! Hii ilikuwa hapa JF.
Ile clip bado tunayo!! Hakusema wezi, alisema WATANZANIA acheni kupotosha
 
Weka facts za hizi👆🏾 allegations ulizotiririka hapa ili tuwe kwenye same page.
 
Mbona hujawahi kujitokeza ukatoa uelewa ili watu wasiongee bila uelwa? Ama unadhani ukiongea na kuweka maneno ya kiingereza ndio itaoneka una point sana? Unajifanya una uelewa wa mambo, wakati hujaweza kuzuia hiyo mikataba ya kihuni, wala hujawahi kupiga kelele. Ww ni wale wasomi waliobobea kwenye biashara, ila hata kuendesha kibanda cha mpesa unakuta huwezi.
 
Nilikuwa mdogo.

Ndio maana msingi wangu wa mabadiliko mara zote ni kujenga civil services imara.

Na kuelewa ‘Plato’s ship allegory’ maelezo yake hiko ni kitabu Kingine kabisa nje ya Republic.

Ukimaliza yote utabaini civil services/usalama wa taifa na mchezo wa tu wenye akili. Huo ndio utaratibu wa nchi za dunia ya kwanza.

Sasa nakujua kwa ubishi, mengine nitakujibu mchana wa kijijini kwetu. Muda wa kusinzia.
 
Lissu, Hajui maswala ya mikataba so are you.

Good times wherever you are!!
 
Wewe! Umesahau ile clip ambayo kitwanga alikuwa anamwambia JPM kuwa achukue Fomu- akasema akiwa Rais Wezi wa Madini yetu watalimia meno!!!! Hii ilikuwa hapa JF.
Mpaka awe rais ndio awe na uthubutu wa kuhoji mikataba? Wenzake hawajasubiri hadi wawe marais. Ina maana asingekuwa rais, angeendelea kukaa kimya.
 
Huyo jamaaa nimemuona kilaza aliposema angekua Magufuli angemuua Lissu pia.
 
Sasa hivi umekuwa mkubwa, tija yako ni ipi? Au ni kuweka sentesi zenye maneno ya kiingereza ili kuwakoga mapeasant wenzio? Nyie ni wale mko kimya kwenye madai ya katiba ya nchi, ila wengine wakisukuma iandikwe ndio mtajitokeza kujifanya mna umahiri katika uandishi wa katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…