Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Acha uchochezi
Wapi Shetani Pepo wa LUCIFER?Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamweKwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Nilikuwa nakufuatilia sana. Nikafikiri kuwa ww ni muumini wa dhehebu la kisabato.Na nimewafuatilia sana wasabato huwa hawana Imani za kuombea visasi. Nashangaa ww unaombea visasi kwa, watu wengine. Nimeshituka sana na nimeshangaa. Lakin amin nakwambia, maamuz yote ni ya, mwenyez mungu wa mbinguni. Hakuna binadamu atakayemtabiria kifo mwenzake. Nakuomba ufute kauli zako. Sio nzuri hata, kwa, Lissu na ww, mwenyewe.Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Magufuli PombeKwani nani amekufa?
Subiri kuna mambo utayaelewa. Endelea kuishiNilikuwa nakufuatilia sana. Nikafikiri kuwa ww ni muumini wa dhehebu la kisabato.Na nimewafuatilia sana wasabato huwa hawana Imani za kuombea visasi. Nashangaa ww unaombea visasi kwa, watu wengine. Nimeshituka sana na nimeshangaa. Lakin amin nakwambia, maamuz yote ni ya, mwenyez mungu wa mbinguni. Hakuna binadamu atakayemtabiria kifo mwenzake. Nakuomba ufute kauli zako. Sio nzuri hata, kwa, Lissu na ww, mwenyewe.
Swali: Kwa nini hii renew imekuwa leo?, Je kuna mahala "tulubai" linaelekea?. Maswali ni mengi.Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini.
Bado wwe na Daud Albert Mashitewee kiazi usituchanganye humu fwalawee
Makonda bado Yuko hai. Yeye unadhani kifo chake ni lini?Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Masite ndio bashite siyo?Bado wwe na Daud Albert Mashite
Boss nimekusoma,nachelea kusema kufa sio adhabu,,,ikiwa umesema kifo ni nature...kwenye nature nikwambie tu hakuna adhabu,HAKUNA. Adhabu ni mambo ya akiliKufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndo dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulan asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu.......so kijana chill kufa sio laana ni human nature..hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Je, kama kifo sio laana kwanini watake kumuua Lissu? Kifo hakina tatizo kikija naturally ila sio kujua kuwa kuna watu wanataka kukuua.Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndo dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulan asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu.......so kijana chill kufa sio laana ni human nature..hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe