Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Yusuf makamba alisema wema hawafi na kawataja ambao hawatakufa: Kinana na Jk hawafi.Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndo dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulan asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu.......so kijana chill kufa sio laana ni human nature..hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe