Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Yusuf makamba alisema wema hawafi na kawataja ambao hawatakufa: Kinana na Jk hawafi.Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndo dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulan asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu.......so kijana chill kufa sio laana ni human nature..hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Ingia Akaunti yangu ya FB mwaka 2017 scroll utaikutaUliandika wapi?
Tupe rejea ya andiko lako
chadema mkikosa sera ni bora kufunga mdomo ndugu zangu
Humjataja aliekufaKwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Boss nimekusoma,nachelea kusema kufa sio adhabu,,,ikiwa umesema kifo ni nature...kwenye nature nikwambie tu hakuna adhabu,HAKUNA. Adhabu ni mambo ya akili
Humjataja aliekufa
Je, kama kifo sio laana kwanini watake kumuua Lissu? Kifo hakina tatizo kikija naturally ila sio kujua kuwa kuna watu wanataka kukuua.
kwani bashite kafa? Lisu anasema bashite ndio alipanga ile issue ya kishetani.Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Kisheria kufa ni adhabu kubwa na ya juu kuliko zote.Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Kwanini wewe hutakufa?Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Unasoma biblia gani? Petro hakuwatabilia kifo wale mtu na mkewe walioiba sadaka? Musa hakutabili vifo vya uzao wa kwanza kila familia?Nilikuwa nakufuatilia sana. Nikafikiri kuwa ww ni muumini wa dhehebu la kisabato.Na nimewafuatilia sana wasabato huwa hawana Imani za kuombea visasi. Nashangaa ww unaombea visasi kwa, watu wengine. Nimeshituka sana na nimeshangaa. Lakin amin nakwambia, maamuz yote ni ya, mwenyez mungu wa mbinguni. Hakuna binadamu atakayemtabiria kifo mwenzake. Nakuomba ufute kauli zako. Sio nzuri hata, kwa, Lissu na ww, mwenyewe.
Boss wao yuko kaburini Chato badala ya ikuluKwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.
Acha Nipumzike sasa
Lile adui kubwa lilipo kufa dunia ilipumuaKwema Wakuu!