Mwaka 2019/2020 Ungemwambia Polepole kwamba ikifika mwaka 2026 kutakuwa na Free Polepole angekubishia kabisa

Pamoja kwamba jamaa alinirudi baada ya kuona masirahi yake yamevurugwa ninawakumbusha tu chawa kuwa "what goes around,comes around" . Ukipanda mchicha utavuna mchicha ukipanda wema utavuna wema ....Polepole na Jiwe ni miongoni mwa watu waliokua wanachekea ishu za utekaji na watu kukutwa kwenye viroba pamoja na unyama waliofanyiwa wapinzani na raia..yale yote aliyonyamazia kimya miaka 4 iliyopita ndiyo yaliyomkuta.
 
VIpi mchimbi
 
Hellow wana JF.

Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k

Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Polepole alishiriki katika kuanzisha kundi la Wasiojulikana(Fwele bway gang/FBG) ambalo baada ya kumilikiwa na dogo Abdul Kizimkazi likaja kumteka na kumpoteza(kumuua) huyo muanzilishi wao, ni sahihi kusema Polepole amevuna alichopanda. Hata Samia, Kikwete, Abdul au Ridhiwani hii FBG inaweza kuwateka na kuwalawiti kama itakuwa mikononi mwa mtu mwingine, they're menace dudes who enjoy torturing and killing people.
 
Pamoja kwamba jamaa alinirudi baada ya kuona masirahi yake yamevurugwa ninawakumbusha tu chawa kuwa "what goes around,comes around" . Ukipanda mchicha utavuna mchicha ukipanda wema utavuna wema ....Polepole na Jiwe ni miongoni mwa watu waliokua wanachekea ishu za utekaji na watu kukutwa kwenye viroba pamoja na unyama waliofanyiwa wapinzani na raia..yale yote aliyonyamazia kimya miaka 4 iliyopita ndiyo yaliyomkuta.
Mtu akiwa kwenye peak huwa ashauriki wala kuambilika.

Mtu akiwa kwenye peak yake ukimshauri atakuona ng'ombe tu moooooooo...
 
Polepole alishiriki katika kuanzisha kundi la Wasiojulikana(Fwele bway gang/FBG) ambalo baada ya kumilikiwa na dogo Abdul Kizimkazi likaja kumteka na kumpoteza(kumuua) huyo muanzilishi wao, ni sahihi kusema Polepole amevuna alichopanda. Hata Samia, Kikwete, Abdul au Ridhiwani hii FBG inaweza kuwateka na kuwalawiti kama itakuwa mikononi mwa mtu mwingine, they're menace dudes who enjoy torturing and killing people.
Kila kitu kina mwisho mkuu time will tell.
 
Polepole alishiriki katika kuanzisha kundi la Wasiojulikana(Fwele bway gang/FBG) ambalo baada ya kumilikiwa na dogo Abdul Kizimkazi likaja kumteka na kumpoteza(kumuua) huyo muanzilishi wao, ni sahihi kusema Polepole amevuna alichopanda. Hata Samia, Kikwete, Abdul au Ridhiwani hii FBG inaweza kuwateka na kuwalawiti kama itakuwa mikononi mwa mtu mwingine, they're menace dudes who enjoy torturing and killing people.

Unajiabisha aya makundi yalikuawepow
 
Back
Top Bottom