Haya mambo muda mwengine huwa yanahitaji maarifa sana katika kuyasemelea na kuyatolea maamuzi!, japo sina hakika ila muda mwengine watu huamua kuchukua watu wao kutokana na viapo vyao na kazi walizokuwa wanazifanya aidha tunazozijua na tusizozijua!, kama kawaida yao ukimya ambao huacha kelele kwa vipofu!.