Na Nchimbi naye je?Hellow wana JF.
Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k
Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Wao ni majaji na mawakili wa serika hawagusikiKuna mandezi hayataki kabisa kujifunza. Hata humu jf yamo kibao.
Huko mahamakani akina katuga, akina jaji ngunduru sijui wanaona kama wamefika.
Ingia You tube msikilize mzee Warioba kwenye presentation yake juzi kwenye kikao chao cha demokrasia.Mkuu Nchimbi hatuna hakika kama kapotezwa au ni story story tu(ingawa kupitia yeye inatakiwa tujifunze pia).
So karma is real shit ???Pamoja kwamba jamaa alinirudi baada ya kuona masirahi yake yamevurugwa ninawakumbusha tu chawa kuwa "what goes around,comes around" . Ukipanda mchicha utavuna mchicha ukipanda wema utavuna wema ....Polepole na Jiwe ni miongoni mwa watu waliokua wanachekea ishu za utekaji na watu kukutwa kwenye viroba pamoja na unyama waliofanyiwa wapinzani na raia..yale yote aliyonyamazia kimya miaka 4 iliyopita ndiyo yaliyomkuta.
Hakuna asiyegusika.Wao ni majaji na mawakili wa serika hawagusiki
Mara nyingiSo karma is real shit ???
Ipo siku tutaimba Free Samia au Free Abdul au Free Paul Bashite.Hellow wana JF.
Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k
Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Kumbe hyo wa mwisho nae vitu vya hatar mbona madhabauni anaconda sana kulia liaIpo siku tutaimba Free Samia au Free Abdul au Free Paul Bashite.
Ni suala la muda tu ila lazima litatimia.
kama madhabahuni kuna hadi maaskofu mabaradhuli atakosekanaje huyo jambazi mvamizi wa vyombo vya habari ?Kumbe hyo wa mwisho nae vitu vya hatar mbona madhabauni anaconda sana kulia lia
Aisee sijaisikia hiyo Mkuu basi ni hatari kama ni kweli.Ingia You tube msikilize mzee Warioba kwenye presentation yake juzi kwenye kikao chao cha demokrasia.
Kasema alivyosikia juu ya Nchimbi, kunyang'anywa simu na kuwekwa kizuizini.
Aisee kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake.Hakuna asiyegusika.
Ikifika siku ukachoka kutumikishwa kikatili ukaanza kuasi na kumrudia muumba wako kabla hata umma haujakuelewa kama umeokoka wao wanakumaliza chap usivujishe.