Mwaka 2019/2020 Ungemwambia Polepole kwamba ikifika mwaka 2026 kutakuwa na Free Polepole angekubishia kabisa

kama madhabahuni kuna hadi maaskofu mabaradhuli atakosekanaje huyo jambazi mvamizi wa vyombo vya habari ?
😀 noma sana mkuu kuna mpaka walaji wa kondoo za bwana .

Bila kusahau na sisi dhambi zetu.
 
Hakuna alie salama kwenye utawala wa kiimla.
 
Kama ambavyo Iddi Amin hakuwahi kufikiri angekimbia Uganda na hata kufa angefia uhamishoni na kuzikwa huko asingeamini.

Kama ambavyo Joseph Desiré Mobutu hakuwahi kufikiri angekimbia Zaire na hata angefia uhamishoni na kuzikwa huko asingeamini.

Na hata sasa wauaji na watekaji wanaowatuma na kutumwa wakitumia rasilimali za walipakodi kutesa, kuua , kulawiti watu kwa amri haramu hawatoamini siku ambayo itafika hawatokua na uwezo huo wala mtetezi wengine wataishia gerezani na wengine uhamishoni na wasiwahi kukanyaga tena Tanganyika.

Historia ina tabia ya kuwakumbusha wanaoipuuza sababu ina tabia ya kujirudia.
 
Kwasasa watu hawaambiliki hawasikii.
 
Labda hawajaelewa na wakadhani ni Uhasi ndio ulimfikisha pale,ila mlio ndani ya mfumo na unajua siri za mfumo, ukitoka kwa namna yeyote ile kwa kustaafu au lah wewe ni target,kila mtu anao wajibu
 
Historia ina tabia ya kujirudia watajisoma katika historia kama waliotangulia hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Ni hatari mkuu, Inafikaga point mtu unaanza kuiogopa historia yako mwenyewe.
 
Labda hawajaelewa na wakadhani ni Uhasi ndio ulimfikisha pale,ila mlio ndani ya mfumo na unajua siri za mfumo, ukitoka kwa namna yeyote ile kwa kustaafu au lah wewe ni target,kila mtu anao wajibu
Mara nyingi watu wanaokua Target hawana hatari kihivyo sema uoga tu.
 
ukweli mtupu HAYUKO HAI TENA.
kwenye kukamatwa kaleta upinzani na migomo kapondwa sana na kupelekea kuvuja damu maeneo mbalimbali na ubongoni ilipopelekea kifo chake.

anyway na CCM yake mpya ni hakika.

watu wanasema alikuwa na majivuno na hapokei simu wala kujibu sms na namba kawapa mwenyewe.

kila sarafu ina upande miwili ila HPOLEPOLE karudi kwenye chanzo kama kila ben saanane BYEBYE
from Mwananchi mmoja raia wa wa Tanzania
 
Mkuu pia ni funzo kwa waliopo hai kwenye system hii leo.

Lolote linaweza kutokea(future).
 
Back
Top Bottom