Mwaka 2019/2020 Ungemwambia Polepole kwamba ikifika mwaka 2026 kutakuwa na Free Polepole angekubishia kabisa

Mkuu Nchimbi hatuna hakika kama kapotezwa au ni story story tu(ingawa kupitia yeye inatakiwa tujifunze pia).
Ingia You tube msikilize mzee Warioba kwenye presentation yake juzi kwenye kikao chao cha demokrasia.
Kasema alivyosikia juu ya Nchimbi, kunyang'anywa simu na kuwekwa kizuizini.
 
So karma is real shit ???
 
Hellow wana JF.

Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k

Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Ipo siku tutaimba Free Samia au Free Abdul au Free Paul Bashite.

Ni suala la muda tu ila lazima litatimia.
 
Kumbe hyo wa mwisho nae vitu vya hatar mbona madhabauni anaconda sana kulia lia
kama madhabahuni kuna hadi maaskofu mabaradhuli atakosekanaje huyo jambazi mvamizi wa vyombo vya habari ?
 
Ingia You tube msikilize mzee Warioba kwenye presentation yake juzi kwenye kikao chao cha demokrasia.
Kasema alivyosikia juu ya Nchimbi, kunyang'anywa simu na kuwekwa kizuizini.
Aisee sijaisikia hiyo Mkuu basi ni hatari kama ni kweli.

Au ni mambo ya kanuni na sheria za chama.
 
Hakuna asiyegusika.

Ikifika siku ukachoka kutumikishwa kikatili ukaanza kuasi na kumrudia muumba wako kabla hata umma haujakuelewa kama umeokoka wao wanakumaliza chap usivujishe.
Aisee kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake.

Hata hawa ambao wanafafikia wenzao hivi sasa itafika time yao nawao kufikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…