Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

Wakuu biashara ya Forex kwa Tanzania imeshamiri sana kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita. Wengi wameingia katika biashara hii lakini baadhi waliamua kuendelea nayo na wengine wameamua kuachana nayo.

Kwa mwaka huu baada ya kufanya biashara hii nimefanikiwa kupata pesa na kuwekeza katika ujenzi pamoja na biashara ya kufuga kuku wa kienyeji.

Wadau naomba tushare mafanikio yetu baada ya kufanya forex ili iwe motisha kwa mwaka unaokuja tujue tunakosea wapi na tusimame vipi katika biashara hii.
Mimi ndo naanza mwakani mungu akijalia nitaleta mrejesho🙏
 
Back
Top Bottom