Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

Ivi soko la forex halijaathiriwa na korona ?maana biashara nyingi zimesimama mipaka imefungwa .vipi huko soko bado lipo vile vile?nlitaka nianze mwaka huu ila huu upepo wa Covid 19 umeniogopesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Forex inaendelea kama kawa. Forex siyo physical market so ni ngumu sana kuathirika sana kama haya masoko ambayo ni physical.
 
Back
Top Bottom