Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

Kamwe sitaicha forex ng'oo. Biashara ambayo unaweza ingiza kuanzia million moja na kuendelea ndani ya masaa 24 ahd 72 (3 days) kama una mtaji wa kutosha na kama umefanya analysis nzuri pia (japo kupoteza pia kupo lakini ni wewe mwenyewe unapanga upotezi kiasi gani endapo mambo yakienda tofauti na matarajio).SIIACHI KAMWE!
 
mtuelekeze mlianzaje mpaka mkatoboa
 
Ivi soko la forex halijaathiriwa na korona ?maana biashara nyingi zimesimama mipaka imefungwa .vipi huko soko bado lipo vile vile?nlitaka nianze mwaka huu ila huu upepo wa Covid 19 umeniogopesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huo ujinga wa kusingizia kusoma vitabu sijui mtaacha lini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kitu hujui mtu anakwambia soma vitabu. Laiti kama ingekuwa kusoma kitabu pekee ndio kunamfanya mtu aijue forex bila real practice nadhani wasoma novel wote wangepewa vitabu vya forex wangekuwa mamilionea kwa sasa.

Hatua za awali za kusoma wote tulihitaji mwalimu kisha ndio kikafata kitabu kwa ajili ya kutanua ufahamu. Imagine ungewezaje kusoma neno bila kufahamu Irabu na Konsonati?

Ila huku kwenye forex ni kama unatupiwa kitabu chenye sentensi na vifungu vya habari usome ilihali hujui hata kuunda neno.
 
Kamwe sitaicha forex ng'oo. Biashara ambayo unaweza ingiza kuanzia million moja na kuendelea ndani ya masaa 24 ahd 72 (3 days) kama una mtaji wa kutosha na kama umefanya analysis nzuri pia (japo kupoteza pia kupo lakini ni wewe mwenyewe unapanga upotezi kiasi gani endapo mambo yakienda tofauti na matarajio).SIIACHI KAMWE!
tufundisheni na sisi basi mkuu
 
Back
Top Bottom