Je wadau broker gan mnaendelea naye kutrade maana kwangu mimi nilikua namtumia templer ila toka wazinguane na ipay africa sijapata broker wa uhakika mpaka sasa
Ivi soko la forex halijaathiriwa na korona ?maana biashara nyingi zimesimama mipaka imefungwa .vipi huko soko bado lipo vile vile?nlitaka nianze mwaka huu ila huu upepo wa Covid 19 umeniogopesha.