Mwaka 2020 Tsh. 10,000 ilinunua Petroli lita 5.3, leo Oktoba unaondoka na Lita 3 tu za Mafuta kituoni

Elewa kitu kinaitwa pandemic. 2020 mafuta yalikosa soko kabisa hivyo bei ilishuka sana.
 
Mbowe na wahuni wengine wakadai jamaa ni dikteta.
 
Ukilalamika watakupa tu jibu jepesi; "sababu ya bei kupanda, iimetokana na vita ya Urusi na Ukraine!!"
Na anaetoa hilo jibu ukimwambia afafanue muingiliano wa kupanda bei na hizo nchi mbili hatokuwa na jibu lolote.

Kuna kipindi walimkaririsha mpaka bibi yao kujibu kuwa kupanda bei kwa kila kitu ni sababu ya vita vya Russia na Ukraine.

Wamefulululiza kushusha bei, tusubiri Dec watakapopandisha watafidia huku kushuka kote.
Haitokuwa ajabu wakapandisha hata Tsh 500 kwa mkupuo.
 
Kongole kwako mleta mada kwa kuongelea hili suala la ugumu wa maisha kwa lugha rahisi..labda WATANGANYIKA wataelewa na kuamka, maana upande wa pili kule nasikia bei ya mafuta wao walau

Cha kushangaza zaidi ,bei ya lita moja Tanganyika yenye Bahari/Bandari ni KUBWA kuliko nchi zisizo na Bandari...KAZI KWELI KWELI
 
Bibie yupo kazini.
 
Watakwambia mafuta yalipanda bei ilhali duniani kote yameshuka
 
Nchi zisizo na bahari kama zipi? Bei iko chini?
 
Watu wanaacha kutumia petroli, wapo kwenye Gas na Umeme, wewe bado umeng'ata tu?

Ng'atuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…