Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Elewa kitu kinaitwa pandemic. 2020 mafuta yalikosa soko kabisa hivyo bei ilishuka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka nilijaza Kimara mafuta ya petroli ya Tshs. 56,000/= kwenye 1500cc nikafika Iringa mjini fresh kabisa na wese la shanting za town likabaki. RIP JPMKipindi cha corona mbona ilifika hadi 1,500/= Tsh kwa litre?
Mbowe na wahuni wengine wakadai jamaa ni dikteta.View attachment 3119922
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine
Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya mafuta imebaki kuwa juu kuliko kipindi kingine ikitoka katika Wastani wa Tsh. 2,969 kwa lita hadi Tsh. 3,140 kwa Petroli
Aidha, Septemba 2020, Tsh. 10,000 ilikuwa na uwezo wa kununua Lita 5.3 za Petroli kwa Dar, wakati hadi Septemba 2024, kiasi hicho kinanunua Lita 3.1 za Petroli, Lita 3.3 za Dizeli na Lita 3.2 za Mafuta ya Taa.
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini Tanzania kwa Miaka 10
Mwaka | Petroli | Dizeli | Mafuta ya Taa
2014 - Tsh. 2,267 - Tsh. 2,091 - Tsh. 2,040
2015 - 2,153 - 1,832 - 1,770
2016 - 1,840 - 1,747 - 1,673
2017 - 1,989 1,887 1,811
2018 - 2,373 2,273 2,247
2019 - 2,236 2,168 2,132
2020 - 1,852 1,793 1,692
2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
SOURCE: EWURA
Yeas ,yalishuka sana kipindi cha korona.Nakumbuka nilijaza Kimara mafuta ya petroli ya Tshs. 56,000/= kwenye 1500cc nikafika Iringa mjini fresh kabisa na wese la shanting za town likabaki. RIP JPM
Na anaetoa hilo jibu ukimwambia afafanue muingiliano wa kupanda bei na hizo nchi mbili hatokuwa na jibu lolote.Ukilalamika watakupa tu jibu jepesi; "sababu ya bei kupanda, iimetokana na vita ya Urusi na Ukraine!!"
Matatizo yalianza rasmi baada ya Kizimkazi kushika hatamu.2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
Nauli ya Dar - MtwaraYeas ,yalishuka sana kipindi cha korona.
Bibie yupo kazini.View attachment 3119922
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine
Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya mafuta imebaki kuwa juu kuliko kipindi kingine ikitoka katika Wastani wa Tsh. 2,969 kwa lita hadi Tsh. 3,140 kwa Petroli
Aidha, Septemba 2020, Tsh. 10,000 ilikuwa na uwezo wa kununua Lita 5.3 za Petroli kwa Dar, wakati hadi Septemba 2024, kiasi hicho kinanunua Lita 3.1 za Petroli, Lita 3.3 za Dizeli na Lita 3.2 za Mafuta ya Taa.
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini Tanzania kwa Miaka 10
Mwaka | Petroli | Dizeli | Mafuta ya Taa
2014 - Tsh. 2,267 - Tsh. 2,091 - Tsh. 2,040
2015 - 2,153 - 1,832 - 1,770
2016 - 1,840 - 1,747 - 1,673
2017 - 1,989 1,887 1,811
2018 - 2,373 2,273 2,247
2019 - 2,236 2,168 2,132
2020 - 1,852 1,793 1,692
2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
SOURCE: EWURA
Possible inarange 40 mpaka 50.Nauli ya Dar - Mtwara
Januari 2021 Tshs. 23,000/=
Oktoba 2021 Tshs. 26,000/=
Mei 2022 Tshs. 33,000/=
Sasa hivi sijui ni Tshs ngapi aisee
Ila inflation tunaambiwa inashuka. 😇Ndio hivyo maisha hubadilika.Mwaka 2015 ilinunua Lita 8 ila mwaka 2020 ikanunua Lita 5
na bado mashabiki wa magaidi ya hapo mashariki ya kati, mafuta yatapanda mpaka maji uite mma.Nauli ya Dar - Mtwara
Januari 2021 Tshs. 23,000/=
Oktoba 2021 Tshs. 26,000/=
Mei 2022 Tshs. 33,000/=
Sasa hivi sijui ni Tshs ngapi aisee
Nchi zisizo na bahari kama zipi? Bei iko chini?Kongole kwako mleta mada kwa kuongelea hili suala la ugumu wa maisha kwa lugha rahisi..labda WATANGANYIKA wataelewa na kuamka, maana upande wa pili kule nasiki bei wao walau
Cha kushangaza zaidi Bei ya lita moja Tanganyika yenye Bahari/Bandari ni KUBWA kuliko nchi zisizo na Bandari...KAZI KWELI KWELI
nchi ya maziwa na asali.Watakwambia mafuta yalipanda bei ilhali duniani kote yameshuka
KiziwiWakulaumiwa ni nani?
ZambiaNchi zisizo na bahari kama zipi? Bei iko chini?
Zambia ,Lita ni shilingi ngapi huko ulikokutaja?
Watu wanaacha kutumia petroli, wapo kwenye Gas na Umeme, wewe bado umeng'ata tu?View attachment 3119922