Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo.
1.Hawajali haki za wengine.
2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage.
3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia
4. Hawajutii makosa yao. Watu antsocial huwa hawajutii kabisa, wala nafsi zao huwa haziwasuti kwa mambo wanayotenda. Na zaidi ni kuwa hawana huruma kwa wengine.
5. Hawaheshimu wengine.
6. Huwa wagomvi.
7. Kujikweza na kujiona bora.
8. Kukosa uwajibikaji kifedha, kazini na kwenye mahusiano.
Wapinge, waepuke na wadharau watu wa namna hiyo. Kwa upande wa pili, hii ni shida ya kisaikolojia, pengine anaweza angalia namna ya kuwasaidia.