Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

Mipango yote mizuri ila umesahau kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliziaji, kutegemea kilimo cha mvua hutakuwa na tofauti na vijana wanaoishi kwa kubet
Mkuu hatua ni taratibu. Hata hii hatua natafuta nguvu ya kupata eneo la kulima mpunga wa kumwagilia. Proposal ipo tayari nasubiri muda ufike. Nimejifunza kuwa na eneo la ukubwa wa kawaida lakini mavuno mengi
 

Haya mkuu!kila la kheri.
 
Mimi nipo Singida. Ninalima dengu na kununua mpunga. Mdogo mdogo
Safi mkuu, nilikuepo huko mwaka juzi kwa niamba ya member 1 wa hapa jf nilikuwa nanunua alizeti.. mpakani na wilaya ya nchemba..
Dengu naona aina compliments kabisa katika mazao yote ya biashara ila inahitaji uifanye Kwa large scale agriculture..
 
Niambie mkuu. Karibu sana Singida tunasikilizia mvua ikate kabisa tupige harrow na kupanda dengu. Nina mlima wa ekari 32 natakiwa kuupanda
Wewe ni Kaka yangu haswa, ngoja nikufuate PM huko tuyajenge kidogo. Mimi ni wa hapo NDAGO haya unayo ya sema nina ya jua kwa 80%
 
Wewe ni Kaka yangu haswa, ngoja nikufuate PM huko tuyajenge kidogo. Mimi ni wa hapo NDAGO haya unayo ya sema nina ya jua kwa 80%
Nmepita itigi juzi Kati nkiwa kwenye basi nikitokea tabora nmejionea mashamba y kulima dengu udongo mweusi mwaweza mkanipa Bei y kununua kwa heka wadau?
 
una kariba ya kuropoka ropoka mambo yako mkuu jifunze kuwa kimya kidogo utanishukuru kesho
 
Amini atakusaidia.. Utafia shambani[emoji1787]
 
Nikajua utafia kwenye mikutano ya kina Mbowe na Lisu 😁😁
 
Kwa kweli nimeamua kupunguza matumizi ya muda kwa mambo yasiyo na tija. Muda niliouokoa nitatumia kwenye ibada
As from the end of this year nitapunguza matumizi ya mda wangu kwenye mitandao na badala yake Nita dedicate zaidi shambani(kufunga na kulima) na mwingine ibadani na kupumzika.

Naona kwenye Kilimo Kuna nafuu ya fursa kuliko huko kwingine
 
Sifa ya Kilimo ni kama biashara zingine,atakaevumilia mpaka mwisho ndio Huwa mahindi.

Kwa maana usikate tamaa eti kisa mwaka huo mambo yaliharibika,rudia tena na tena utakuja kunishukuru.

Nimejigunza kwenye Kilimo kwamba pesa unayoweka ni kama unakopesha kinakuwa na side 2 kurudi au kutorudi.
 
Shamba ni sehemu ambayo unaweza pata hela nyingi Kwa pamoja na kwenda kuwekeza huko kwingine kama back up ya Kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…