Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Hongera sana mzanzibar wangu na karibu katika parenthood i'm sure your going to be an amazing mom[emoji847]

I'm sorry i went silence, been so busy but nitakucall hivi karibuni
Nasubiri tu call yako kuna mengi ya kuzungumza boss wangu,

Ahsante na nimekaribia dear [emoji56][emoji3059]
 

Wao kuzaa sana haimaanishi kua hakukua na changamoto,tena wao zilikua nyingi kuliko hizi zetu sababu kipindi chao teknolojia haikuwepo ila sisi tunaweza kuona maendeleo na ukuaji wa mtoto tumboni hadi siku anazaliwa,

Kitu kingine ni Nature, zama zile watu hawakua wengi sanaaaa ndio maana walizalika kwa wingi labda ikafanya changamoto ziwe ndogo, sasa hivi tumekua wengi nature inajaribu kubalance population ndio maana shida za uzazi ni nyingi, kupigwa visu (oparation) kwa sana mambo ni mengi ili mradi tu mwanamke asiende ende sana leba,

(Nasinzia ngoja nilale kwanza)
Btw, ahsante kwa salamu za upendo my dear
 
Asante sana , nimekuelewa sana, heri za mwaka mpya.
 
Khee! Nilikua wapi mie nikapitwa na hii habari njema! Wallah nimefurahi sana dear hongera nyingi na pole pia, naimani sasa unaendelea vizuri pamoja na mtoto wetu.
 
Umeolewa?au amekuzalisha tu ๐Ÿ˜‡
Siku hizi style ni tunawazalisha tu,tunasepa, mtapambana na Maisha wenyewe huko

Haha..
Kuolewa hataki, labda awe amebadili msimamo..
 
Sijui nilikuwa wapi kuoa hili-hongera sana momโค๏ธ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
 
Hongera new mama in town na iwe kheri kwako na mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ