Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu

Hongera sana mzanzibar wangu na karibu katika parenthood i'm sure your going to be an amazing mom[emoji847]

I'm sorry i went silence, been so busy but nitakucall hivi karibuni
Nasubiri tu call yako kuna mengi ya kuzungumza boss wangu,

Ahsante na nimekaribia dear [emoji56][emoji3059]
 
Hongera sana my dear, heri nyingi na fanaka kwa mtoto, akue katika hali nzuri zote zinazoleta furaha na amani, hongera sana.

Mara nyingi wakina dada wekua wakielezea changamoto za ujauzito na uzazi, ni dhahiri hakura urahisi katika hilo, ila wale mama zetu na bibi waliwezaje kubeba ujauzito wa watoto kumi na nne na leo bado ?
Kuna nini kimetokea kati ya wao na sisi ?

Wao kuzaa sana haimaanishi kua hakukua na changamoto,tena wao zilikua nyingi kuliko hizi zetu sababu kipindi chao teknolojia haikuwepo ila sisi tunaweza kuona maendeleo na ukuaji wa mtoto tumboni hadi siku anazaliwa,

Kitu kingine ni Nature, zama zile watu hawakua wengi sanaaaa ndio maana walizalika kwa wingi labda ikafanya changamoto ziwe ndogo, sasa hivi tumekua wengi nature inajaribu kubalance population ndio maana shida za uzazi ni nyingi, kupigwa visu (oparation) kwa sana mambo ni mengi ili mradi tu mwanamke asiende ende sana leba,

(Nasinzia ngoja nilale kwanza)
Btw, ahsante kwa salamu za upendo my dear
 
Kitu kingine ni Nature, zama zile watu hawakua wengi sanaaaa ndio maana walizalika kwa wingi labda ikafanya changamoto ziwe ndogo, sasa hivi tumekua wengi nature inajaribu kubalance population ndio maana shida za uzazi ni nyingi, kupigwa visu (oparation) kwa sana mambo ni mengi ili mradi tu mwanamke asiende ende sana leba,
Asante sana , nimekuelewa sana, heri za mwaka mpya.
 
Guys, i hope mko poa sana,
Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu,

Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]

Ilikua March daktari aliponambia nina ujauzito baada ya kuumwa sana bila kuelewa ninachoumwa, anyway story iwe fupi kiutani utani nikawa nimenasa bhana,

Namshukuru partner wangu amekua na mimi bega kwa bega hadi siku ya mwisho naenda kufanyiwa C-Section na kumleta a beautiful baby duniani [emoji56][emoji120]

Special thanks to my family, nyie walijua kunicare, kunidekeza ofcourse ni lastborn wao ninastahili [emoji1]

My baby and I tumetimiza one month tangu tupambane for 9 months na ile siku yenyewe, siku ya kuchungulia kifo uwiiiii[emoji119]
Mtoto wangu ni shujaa wangu kila siku hua namwambia hilo, amenipa the best experience sikuwahi kuiwazia, yes kulikua na ups and downs hasa miezi mitatu ya mwanzo na miezi mitatu ya mwisho lakini tulipambana hadi tukaonana [emoji3059][emoji7]

Wanawake wote wenye watoto hongereni na ambao bado niwatoe hofu tu ni jambo zuri msitishwe na mijineno ya waja,

Next time nitakuja kuelezea safari nzima ilipoanzia, changamoto, nakadhalika, hii ni kuwatia Moyo Wanawake wote lakini pia kuwafanya Wanaume wawaheshimu Wanawake zao, Mimba hadi Kuzaa sio mchezo, inaathiri kimwili na kihisia pia

Itapendeza kama mkiwa positive na kutoa hongera bila kuweka mambo binafsi ya watu maana utakua ni umbea na hasa nyie wanaume ndio wambea sana mtakuja kusutwa kwa makopo ya chooni [emoji849][emoji851]

Kheir ya Mwaka mpya wana JF wooooooooote [emoji323][emoji322][emoji320][emoji304]
Khee! Nilikua wapi mie nikapitwa na hii habari njema! Wallah nimefurahi sana dear hongera nyingi na pole pia, naimani sasa unaendelea vizuri pamoja na mtoto wetu.
 
Umeolewa?au amekuzalisha tu 😇
Siku hizi style ni tunawazalisha tu,tunasepa, mtapambana na Maisha wenyewe huko

Haha..
Kuolewa hataki, labda awe amebadili msimamo..
 
Sijui nilikuwa wapi kuoa hili-hongera sana mom❤️😘😘
 
Hongera new mama in town na iwe kheri kwako na mtoto
 
Back
Top Bottom