Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

Mwaka 2025 itabidi wanasiasa wajieleze Sana, vijana kila siku wanajinyonga kwa ugumu wa Maisha

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wamesoma lakini it is about 10 -5 years no Employment then nyie politicians manawakejeri kwa kuwaambia wanabidi watengeneze ajira hivi Mtu anajiajili vipi bila mtaji Wala Mazingira mazuri ya uwezeshwaji.

Sijui hiyo 2025 mtakuja na nyimbo gani ili tupate kuwaelewa.

Elimu yenu mnayotoa katika vyuo vikuu na Kati ni Elimu mbovu then kupitia hiyo Elimu mbovu ya nadharia unataka kijana Afanye ili ajiajili?

It is worst days never ever happen katika Maisha ya vijana.

Mama na CCM ni vizuri mkakubali kuwa hi nchi inahitaji watu wanaojitambua na wenye maono na compassion that All.
 
Heh! Kwani this time elfu ^tar-know tar-know^ hawagawi tena?
 
Back
Top Bottom