Nimekwambia vipo vifo vya bahati mbaya baada ya hali nzima ya siasa nchini kuwa imechafuka, wanasema vita haina macho.
Jiulize kule Goma na Uvira kinamama wangapi au watoto wangapi wanapigwa risasi kila siku wakati hawakusiki na ugomvi wa wanasiasa wanaogombea mali!. Machafuko ya kisiasa yakiingia huruma inaondoka kwenye mioyo ya watu unyama unaanza kutawala maisha ya watu.
Lissu aliposema kukinukisha alimaanisha kitu chenye kufanana na zile vurugu za Oct29, hakujua anaongea kitu gani hakujua ukubwa wa ile kauli.
Tanzania vile tulivyoijua tangu mwaka 1961 ilikuwa inakufa siku ile, ikabidi itumike nguvu kuitetea.