Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
 
1. Namuona kama rais mvumilivu na msikivu
2. Namuona kama rais mwenye uchungu na nchi hii (wasi wasi wangu ni waliomzunguka)
3. Namuona kama rais mwenye kifua kutokana na mishale anayorushiwa.
4. Naiona tanzania ikijitegemea miaka 2 ijayo
5. Naiona katiba mpya
6. Naliona taifa lililosimama imara na lenye amani tele
7. Naliona taifa la tanzania kama kiranja wa afrika mashariki kiuchumi
8. Naiona miundombinu ikiimarika
9. Naiona amani na haki vikitamalaki
10. Nauona muungano ukiimarika
11. Nawaona vijana wa kitanzania wakitajirika

HUYU NDIYE RAIS ALIYETOA VIBALI VYA AJIRA VINGI KWA MUDA MFUPI TANGU UHURU WA NCHI HII (APEWE MAUA YAKE),
-VIJANA WENGI WAMEPATA AJIRA BILA VIMEMO!
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kuchukiwa na wananchi wake walio wengi.
itamkumbukaje kwani
WHO ARE YOU?
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
Mdude Nyangari, Humphrey polepole, Mawazo wa Geita, Magufur, Jk Nyerere,Sokoine
B mkpa, B Membe,They are Still living Legends/ Heroes in our Society.
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.

View: https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw
 
Mauaji
 
Secondary kwenye somo la history tulifundishwa kuhusu sharpville massacre,leo hii nasisi Tanzania tuna yetu. Hopefully mauaji ya October 29-30 yataingizwa kwenye syllabus dunia nzima.
Ule ujinga uliokuwa ukifanyika wa kuchoma moto vituo vya mafuta na kuunguza magari ya watu kabla ya risasi kuanza kurindima hauwezi kuongelewa.

Kutetea mauaji sio vizuri lakini dola lazima ilindwe kwa namna yoyote ile.
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi
Ni mengi ya kumkumbuka Rais Samia, nitataja machache, 10 tu kwa umuhimu wa mpangilio wake (1-10):
  • Ni Rais wa kwanza aliyediriki hadharani mbele ya wazee-Dar na taifa lote, kukanusha umiliki wa HATI MILIKI ya nchi hii TZ waliyojitunukia/kuipora TEC kwa miaka mingi na kuirudisha kwa WANANCHI WOTE wa makundi yote. Asante sana Mama.
  • Ni Rais wa kwanza TZ kupokea kijiti toka kwa mtangulizi wake kikatiba baada ya mtangulizi huyo kufariki.
  • Ni Rais aliyeweza kudumisha na kuendeleza amani katika kipindi kigumu cha tukio la kihistoria la kuondokewa na Amir jeshi mkuu. Moshi mwingi ulikuwa ukifukuta, lakini kwa kutumia akili nyingi, busara, elimu, uzoefu akaweza kuiunganisha nchi na utulivu ukapatikana na kutuvusha salama. Ni jambo kubwa sana!
  • Ni Rais wa kwanza aliyetoa tafsiri ya KIBIASHARA, TZ kama nchi isiyofungamana na nchi yeyote katika mwaka 2025 na kuendelea kwa kufungua milango ya kibiashara kwa dunia nzima hususan MASHARIKI YA KATI. Hapa Ma-rais wengi walishindwa, kila wakigusa, waliodhani wana hati miliki na wafuasi wao walipiga kelele sana wakitumwa na wa-magharibi na washiriki wao. Asante mama kwa kutuonyesha njia, milango imefunguliwa.
  • Kaleta amani baada ya jaribio kubwa la 29/10 - 03/11 la kuipundua nchi ya TZ. Lingefanikiwa tungekuwa na Sudan ya pili Afrika. Si hao waliosababisha tu, wala wengine wasiohusika wangekuwa salama. Asante mama.
  • Ni Rais wa kwanza aliyeongeza Pato kubwa la kodi la Taifa, iliyopata kwa miaka mitatu mfululizo. Ni rekodi ambayo hakuna Rais toka Nyerere mpaka Magufuli walioweza kufikia kiwango hicho.
  • Ni Rais aliyeongeza tija katika kilimo kwa kuweka ruzuku katika pembejeo na kutafuta masoko ya mazao ya wakulima. Hii ndio tafsiri halisi ya kumsaidia MNYONGE.
  • Ni Rais wa kwanza aliyetuzawadia miundo mbinu ya kimkakati ambayo haikuwepo TZ kama SGR, bwawa la Nyerere(umeme), vijiji vyote kufikiwa na umeme, n.k. Umeme na usafirishaji ndio viashiria namba 1 vya maendeleo ya nchi.
  • Ni Rais wa kwanza mwenye dhamira ya kweli ya kutuletea aka.. mwali- KATIBA MPYA.
  • Ni Rais wa kwanza aliyetuletea Dira ya maendeleo ya TZ ya miaka 50 nzuri na itayoitoa TZ katika umasikini. Hapa wengi hawajaisoma; pateni muda mkaisome ndio mtatambua umuhimu wa Rais Samia na jinsi anavyohitaji kuikomboa Tanzania. .....NB: kwa wale wanaouliza swali: Kuna anayefahamu, Rais Samia anatupeleka wapi? Isomeni Dira hii, mtapata majibu.
 
Kaka ulichokiandika kinahitaji kuanzishiwa uzi unaojitegemea. Watoto wengi wanaodai katiba mpya na haki wanapaswa kusoma hiki ulichokiandika kwa kina.
 
Back
Top Bottom