Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

ICC ndio EU hao mabwana zao kina Heche na Lissu hawana jipya lolote.
Tena hawa hawaitakii mema Afrika, TZ ikiwemo. Hawa ndio sababu kubwa ya Afrika/TZ kuwa masikini kwa miaka 60.
Eti unafanya nao biashara katika kila sh 100, nchi inapata sh 1, wao wanaondoka na 99 sh. Utavuka lini hapo.
Ukiwatema, wanakimbilia kwa akina HECHE NA LISSU kuomba msaada wa kubweka kama mbwa vichaa.... Eti kitanuka, ....Tutakinukisha. Du, CHADEMA! sijui kama inafaida kwa TZ. Bora ifutwe. TZ bila CHADEMA inawezekana.
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
KWA MAUAJI TU.?
 
Tena hawa hawaitakii mema Afrika, TZ ikiwemo. Hawa ndio sababu kubwa ya Afrika/TZ kuwa masikini kwa miaka 60.
Eti unafanya nao biashara katika kila sh 100, nchi inapata sh 1, wao wanaondoka na 99 sh. Utavuka lini hapo.
Ukiwatema, wanakimbilia kwa akina HECHE NA LISSU kuomba msaada wa kubweka kama mbwa vichaa.... Eti kitanuka, ....Tutakinukisha. Du, CHADEMA! sijui kama inafaida kwa TZ. Bora ifutwe. TZ bila CHADEMA inawezekana.
Huo mgawanyo wa shilingi 100 watoto wa Gen Z hawawezi kuuelewa, wao wanashikiwa akili na hao wanasiasa wa CHADEMA bila hata kuelewa wanapelekwa wapi.

Serikali ya Tanzania imekaa kimya ikiutazama mchezo mzima, wanajua kwamba hao ni mabeberu ambao ulaji wao unafungwa hivyo lazima waipake matope nchi ya afrika ambayo wanaitawala nyuma ya pazia. Wazungu hao ni wapuuzi kupita maelezo.

Jambo la heri kuona Zambia, China na Tanzania zinafufua TAZARA ili mataifa yote yaweze kufaidika.

Kuna vision ya kuelekea 2050 hiyo inawachanganya kabisa hao makuwadi wa EU kina Heche na Lissu wanapambana ili nchi iingie mikononi mwa hao mabwana zao. Uwezo wa kutambua na kuchanganua mipango ya muda mrefu kwa hao wanasiasa ni mdogo hivyo wanacheza na hisia hasi miongoni mwa watanzania ili nchi iingie choo cha kike.
 
Wakuu naona lipo ingizo jipya la machawa jf kutoka ccm, yapigwe ignore mapema sana.
Nilishawataarifu hili huko nyuma. Mnaogopa nini? Wajibuni kwa hoja. Mkiwapotezea ndio mtaharibu sana, maana kukaa kimya nako kuna tafsiri yake amabayo si nzuri kwa upande wenu.
Kwa mfano: Chawa akasema; Mama kajenga miundo mbinu mf, bwawa la nyerere, SGR..... Jibu unavyofikiri wewe,....Unaweza kusema..ni uwongo hakauna SGR, au kakopa huyo kupata SGR, au hata mimi ningeweza kujenga...Toa hoja yako...Ilimradi unaona ina mashiko. Karibuni..
 
Waje na hoja mbadala wasikimbilie matusi na mikwara mingi ya kitoto haviwezi kuwasaidia.
 
Ule ujinga uliokuwa ukifanyika wa kuchoma moto vituo vya mafuta na kuunguza magari ya watu kabla ya risasi kuanza kurindima hauwezi kuongelewa.

Kutetea mauaji sio vizuri lakini dola lazima ilindwe kwa namna yoyote ile.

..kuna vijana wengi walikamatwa, kuteswa, kuumizwa, na kuuwawa, baada ya Oct 29, siku ambazo hakukuwa na maandamano, wala uharibifu.

..Sijui kama unafuatilia ushuhuda wa vijana waliofunguliwa toka magerezani.
 
ATAKUMBUKWA KWA KULIVISHA TAIFA SALAMA DHIDI YA MAMLUKI WALIOLIPWA HILI KUAHARIBU TASWIRA NJEMA YA TAIFA LETU
 
Ati
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    249.3 KB · Views: 20
Back
Top Bottom